Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

Nataka uwe mlinzi wangu. Salary 100,000 per month.
Note: Lazima ulete criminal record clearance certificate toka Police Force machinaries.
Pambafu mwezio hata kuwa mlinzi wa kawaida ....anataka mashirka ya maana G4S Mshahara laki tano......

Hapo suma jkt laki tatu........we na laki moja yko mpe mmasai
 
Na we dogo acha njaa laki moja si dharau hizoooo andika subiria watu watakuja sehemu za maana
... vumulia piga hata boda boda kuliko hii taka taka inayotaka kukupa laki moja .....boda hukosi laki nne mwezi ....ukisubiria kuapply hata polisi jeshin tanapa au jeshi uhamiaji ....

Laki moja bora ukakae kwa ndugu zako tu
Ninayo,nmeipata pale wizara ya mambo ya ndani;0756061623

ninayo tayari,&it is negative
 
Naomba namimi nikushauri japo sina kitu pambana utafute laki 3 na wadhamini 4 ukishapata hiyo kazi ya ulinzi nenda kwenye makampuni ya pikipiki yanakopesha boda kwa kianzio cha laki 3 na marejesho kila siku ukimbie barabarani kazi ya boda inakupeleka sehemu nyingi ambazo unaweza ona fursa
Ni 400,000/= wamepandisha siku hizi....!
 
Habari, rejea kichwa cha habari.

Jinsia: Me
Umri: 28 yrs old
Mafunzo: JKT
Uzoefu wa kulinda: 3yrs
Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations

Elimu: Kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka chuo cha usimamizi wa kodi (ITA),kama naweza pata intern niko tyr
lugha: Fresh (kawaida), English & kiswahili
Makazi: Kimara, Dsm

Niko tayari kupangiwa kazi sehemu yoyote .

Asanteni sana.
MREJESHO.
Habar, nmepata kazi ya ULINZI, Asanteni.
Mkuu stow away (Asante sana).
 
Back
Top Bottom