malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Wataalam mim nakunywa maji kwa siku Lita 2.5 ila Sasa mkojo wasiku yote yaan masaa24 napata 600mls je ntakua nashida gani
ManinaWakimaliza kukueleza, wanieleze na mimi inakuaje nikinywa lita moja, nakojoa lita mbili. Hadi imebidi nipunguze kunywa maji.
Mwili unanjia nyingi zakutoa taka kama vile jasho na mkojo .inawezekana unatokwa na jasho sana lakn makasivyo labda utakuwa unatumia pombe kali sana.na pia inategemeanan na mazingiraWataalam mim nakunywa maji kwa siku Lita 2.5 ila Sasa mkojo wasiku yote yaan masaa24 napata 600mls je ntakua nashida gani
Unafaya kazi gani za kila siku ?Wataalam mim nakunywa maji kwa siku Lita 2.5 ila Sasa mkojo wasiku yote yaan masaa24 napata 600mls je ntakua nashida gani
Nafanya kazi ya duka la jumla kazi yakukaa masaa mengi,Nina kilo 80 na urefu wangu ni 164cmUnafaya kazi gani za kila siku ?
JE una uzito gani ?
Kama hiyo hali ni ya muda mrefu basi katizame (chekup)afya ya figo yakoNafanya kazi ya duka la jumla kazi yakukaa masaa mengi,Nina kilo 80 na urefu wangu ni 164cm
Vipi jasho linakutoka?Wataalam mim nakunywa maji kwa siku Lita 2.5 ila Sasa mkojo wasiku yote yaan masaa24 napata 600mls je ntakua nashida gani
Hali inakama wiki2 Sasa,ila juzi nimefanya vipimo vya utendaji kazi wa figo wanasema viko sawa,ila ultrasound ya figo siku fanyaKama hiyo hali ni ya muda mrefu basi katizame (chekup)afya ya figo yako
Hapana jasho halinitokiVipi jasho linakutoka?