Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mmh acha basi mkuu, kweli?Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka,
Mambo mengine yapo bayana, unayakemea vipi?Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Watu wamemwamulia marehemuAaaaah huu ni uuongo BWANA
πππ Saivi kuteka hadi watekaji wa kawaida wanapitia mgongoniMtu akiandika hoja nzito kama hizi hata kumteka haiwezekani.