Nakuomba Rais Samia kama unamjali Magufuli utoke hadharani na kukemea hiki kitabu cha Kabendera

Kwamba mwamba alivutiwa na jicho mlegezo akataka kumpelekea ...
Halafu mwandishi kataja majina kabisa bila chenga.
Lengo hasa la hiki kitabu ni nini? Kitusaidie nini?
 
Vitu vingine hahin amashiko, uwe kweli au uongo
Aliyeandika anae amekurupuka ,hain a impact Kwa ss labda angekuwa mhusika mzima
 
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Ina maana Magufuli hakujua kuwa huyo ni mke wa mtu?
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli

Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Twende mbele turudi nyuma suala la Pajama limenifurahisha sana.
 
Kwani Rais na Makamu wa Rais wote wanaishi ikulu au utaratibu wa kimakazi upoje ?? Mana hili suala la jiwe kuvaa pajama na kumfuata mama mbona linagoma kuingia akilini kimazingira ya kawaida ikiwa wale ni wakubwa na hata kama wanaishi pamoja pale ikulu apartment zao zitakuwa mbalimbali
 
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli

Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Atakemeaje ilhali naye aliponea chupuchupu mkuu? 💘

Tuwasubiri chawa wake akina MamaSamia2025 , Lucas Mwashambwa , na ChoiceVariable waje kutoa mapovu hapa kumtetea.
 
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli

Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Amjali Marehemu au kabuli?
Ili tufaidike vipi kiuchumi?
 
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli

Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Pambaf kabisa.
Huwezi kuhodhi ukweli.
Na ukweli hsupo kwa matakwa yako.
 
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli

Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Mkuu kabendera ni mhuni na kitabu chake nichakihuni hivi magufuli anawezaje kwenda kwa makamu wake na pajama angali getini tu kuna walinzi wa kutosha ndani pia kuna wafanyakazi wa kutosha hata jpm hawezi kutoka bila wasaidizi wake maana nikiongozi wa umma ! Kitabu hicho nichakihuni na kinahabari za kusadikika
 
Agrrrhhh Qmanyokoo Mwite ajee tena aje na Abdul mtoa Mada unatakiwa ukapimwe choo kubwa mpaka mtu atoe kitabu na Aandike kuhusu issue nyeti kama hyo naamini hajifurahishi au hafurahishi wasomaji lisemwalo lipo huyo Marehemu wenu alikua katili vibaya sana
 
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli

Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Unakataa nini sasa? Kwani Magufuri alikuwa malaika kashushwa Toka mbinguni mpaka asiwe na mapungufu ? Mitume wenyewe unaowajua wa dini zote hawakushushwa toka mbinguni walizaliwa duniani na hawakushushwa toka mbinguni na wana mapungufu kibao kicha ya yamefichwa kwelikweli .
 
Back
Top Bottom