Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana Magufuli hakujua kuwa huyo ni mke wa mtu?Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Tusubiri kusikia kama atakanushaHalafu mwandishi kataja majina kabisa bila chenga.
Twende mbele turudi nyuma suala la Pajama limenifurahisha sana.Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Hilo hata mimi limenivunja mbavu mdauTwende mbele turudi nyuma suala la Pajama limenifurahisha sana.
Vuta picha jiwe ndani ya pajama mkononi ana rough riderWewe unatetea wabakaji?? 😡
Atakemeaje ilhali naye aliponea chupuchupu mkuu? 💘Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Amjali Marehemu au kabuli?Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Kweli mwaamini Rais aweza kuwa ndani ya pajama kufuata vice president 😂😂 ili hali mama wa ndoa yupo 😂😂😂Huenda ni kwel ndo maaana kizimkaze kakausha
Pambaf kabisa.Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Jpm ndani ya pajama miguuni ndala mkononi rough riderKweli mwaamini Rais aweza kuwa ndani ya pajama kufuata vice president 😂😂 ili hali mama wa ndoa yupo 😂😂😂
Mkuu kabendera ni mhuni na kitabu chake nichakihuni hivi magufuli anawezaje kwenda kwa makamu wake na pajama angali getini tu kuna walinzi wa kutosha ndani pia kuna wafanyakazi wa kutosha hata jpm hawezi kutoka bila wasaidizi wake maana nikiongozi wa umma ! Kitabu hicho nichakihuni na kinahabari za kusadikikaErick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Woii rough rider hyo inaitwa nyama to nyama au utamu na Ganda lake rough rider ni balaa tupu😂😂Jpm ndani ya pajama miguuni ndala mkononi rough rider
Unakataa nini sasa? Kwani Magufuri alikuwa malaika kashushwa Toka mbinguni mpaka asiwe na mapungufu ? Mitume wenyewe unaowajua wa dini zote hawakushushwa toka mbinguni walizaliwa duniani na hawakushushwa toka mbinguni na wana mapungufu kibao kicha ya yamefichwa kwelikweli .Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli