Nakuomba Rais Samia kama unamjali Magufuli utoke hadharani na kukemea hiki kitabu cha Kabendera

Damage imeshatokea. Hivi wewe unafikiri kukataa au kukubali kutapoza moto? Akisema ni kweli utachukia kwa sababu hupendi kusikia; akisema ni uongo utafurahi-labda kakudanganya tu. Kwa hiyo hakuna cha kupoza hapo.

Mkeo au mumeo akikudanganya kuwa hana uhusiano wa mapenzi na mtu mwingine utafurhai ingawa anadanganya na wewe unajua anaweza kuwa anadanganya, akisema ukweli utachukia kwa sababu hupendi kusikia, Kwa hiyo usiulize
 
Acha kumshauri rais asikemee Wabakaji na wauaji.

Yaani jitu litake kubaka na liuwe watu halafu unata rais aje kulitetea?
 
Mmeumbuka
 

Ushahri mbaya kabisa!!

Unasema kuwa wewe huamini kuwa ni tuhuma za kweli, hiyo ni sahihi kwako kwa maana ndicho unachoamini. Lakini kuamini haimaanishi unachoamini wewe ndiyo lazima kiwe cha kweli.

ila ushauri wako unaonekana wa ajabu sana pale unapomtaka Rais Samia atoke hadharani na kutangaza kuwa tuhuma hizo siyo za kweli! Kama zitakuwa ni za kweli, kwa nini akaseme uwongo kuwa siyo za kweli?

Ushauri mzuri ungemwomba Rais athibitishe kama tuhuma hizo ni za kweli ama ni za uwongo.

Note: Marehemu mara kadhaa, akiwa hai alikumbwa na tuhuma za namna hiyo, na hakuwahi kukanusha hata mara moja:

1) Alizaa na mdogo wa mkewe
2) Alizaa na mke wa mteule wake wa ubalozi
3) Kuna yule aliyepewa UDC

Nasema hizi zilikiwa tuhuma wakati akiwa hai, na wala marehemu hakuwahi kuzitolea kauli tuhuma hizo. Je, alipuuza, zilikuwa za kweli, hakuna ajuaye.

Samia ni mtu mzima, ana familia yake, kama tukio hilo lilitokea, huwezi kujua alimjulisha nani na nani, na hao watu walikuwa na uhusiano gani na yeye, wewe na mimi hatujui.

Fikitia kuwa labda tukio hilo lilitokea kweli. Samia akamjulisha mumewe, mumewe akamwambia aache huo umakamu, naye akakubali. Mstaafu Mkapa na watu wanaoheshimika kwa mumewe wa muathirika, wakamwomba sana msamaha na kumwomba akubali mkewe aendelee kuwa makamu. Mume akakubali lakini akaendelea kuumia moyoni. Ilipotokea nafasi ya kutoa ya moyoni akamweleza Kabendera kila kila kitu. Je, leo muathirika akisema kuwa tukio hilo halikutokea, unadhani mumewe atamwelewaje?

Ninaamini Rais Samia atachukua uamuzi wa hekima kwa kadiri aonavyo. Uwezekano mkubwa atakaa kimya.
 
Bro hii ni aibu wanayojitengenezea wao wenyewe. Lakini muda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…