Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto.

Chanzo: minotv_tz

Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke ambaye si tu Kazaa bali ameshazalishwa na Wanaume wawili huku tena Kisirisiri bado anakutana nao kwa Kupasha Kiporo.

Na kwa Sisi wenye Saikolojia Kali ya Asili (Kuzaliwa nayo) si ya Kusomea tunajua kuwa ukiona Mwanamke wako (Uliyemuoa) anakuambia kuwa hana Shida ya Wewe sijui Kumuolea Mke wa pili au hata akiambiwa una Mahawara Nje wala Hajali jua ya kwamba nae pia Anabanduliwa kisawasawa hivyo hapo Watu wa Betting (Kamali) tunamalizia kwa kusema kuwa hiyo ni G - G yaani both Teams to Score.

Kudadadeki Aziz K hakuna Rangi utaahcha kuiona kwa huyo Mkeo ambaye hata akulipae Mshahara TZA anambandua.
Mkuu umeshameza dawa zako? Muda unaenda...
 
Ng'ombe kutoa Fuso za Ng'ombe. Mwenetu alitoa kichozii flan hivi Cha Kifilipino huku mshenga anakigusa gusa na leso .... What a man KI Azeez .

Nimecheka Sana.
 
"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto.

Chanzo: minotv_tz

Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke ambaye si tu Kazaa bali ameshazalishwa na Wanaume wawili huku tena Kisirisiri bado anakutana nao kwa Kupasha Kiporo.

Na kwa Sisi wenye Saikolojia Kali ya Asili (Kuzaliwa nayo) si ya Kusomea tunajua kuwa ukiona Mwanamke wako (Uliyemuoa) anakuambia kuwa hana Shida ya Wewe sijui Kumuolea Mke wa pili au hata akiambiwa una Mahawara Nje wala Hajali jua ya kwamba nae pia Anabanduliwa kisawasawa hivyo hapo Watu wa Betting (Kamali) tunamalizia kwa kusema kuwa hiyo ni G - G yaani both Teams to Score.

Kudadadeki Aziz K hakuna Rangi utaahcha kuiona kwa huyo Mkeo ambaye hata akulipae Mshahara TZA anambandua.
Hamisa mobeto ni chakula cha wanaume wote wenye pesa zao Hapo Daslamu
 
"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto.
Kwa Hii kauri ni dhahirishairi hakuolewa kwa kumpenda K,Aziz bali kwa kufanya biashara ya mwili katika ndoa! Kwa maana anamuuzia mwili K,Aziz mwili bila ya yeye kufahamu!Pia kimtazamo K,Aziz ni kijana mdogo mfanikio makubwa kayapata Tanzania pia ni mwanaume asiyejiamini labda kwa maumbile yake ujiona yeye kupendwa ni nadra sana! Pia yawezekana katika mapito yake ya mahusiano yake katika mafarakano kitu ambacho wamekuwa wakikitumia kama fimbo wanawake wake wengi ni maumbile yake ya mudomo! Hila hakustahili kuoa mwanamke kama Hamisa japo sisi hatuwezi kumuamlia chochote juu ya nani ampende!!!
 
Hii thread imejaa umbea mtupu nahisi inafaa zaidi wakina mama kama kuna mwanaume kachangia comment hapa bac jua wewe ni mchicha mwiba
 
Back
Top Bottom