Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

Acha ujinga mzee. Azizi kijana wa bush. Kumpata binti wa Town kama yule ni ufahari kwake. Kula meza moja na wakina Rick Rozeee si mchezo ingawa kuna kaujinga fulani. Acha kijana ale bata
Bata gani?
 
Yaan kama kuna mtu anamzunguka azizi k huyo hata stukiwa kirahisi mpaka pale azizi k atakapo staafu soka. Maana hiyo njemba inayo mla mobeto yeye kazi yake ni kucheki lineup ya yanga kama Mwamba kaanza na kikosi au yuko sub, wakisha thibitisha yuko kikosini na wao gemu yao inaanza baina ya hiyo njemba na Mobeto caros
 
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ile ilikuwa ndoa kweli ya Aziz K na Misa. Naona viini macho vilianza toka mke wa kiongozi wetu wa timu, ajue ndiyo ukaribu wa A na M ukaanza.

Kwenye ndoa Misa anamuonea aibu E na anajifunika E akiwa anamuangalia, badala ya kumuonea aibu AK mumewe. Hapo kazingwa mkewe na E, aambiwe si nilikambia alikuwa akitoka na AZ na ndoa wamefunga. Siku mtarudi kwenye hii comment.
Watoto wa Mjini na Wazee wa Taarifa Nyeti tunajua kuwa Boss wake Aziz K hapo alipo na anayemlipa mshahara anambandua huyo Mkewe Mbichi. Na bora apite nae kawaida ila Boss anajulikana sana kwa kupenda kupita 'Vumbi Road' hadi Wanawake wa Tabata Mawenzi hawana hamu nae.
 
Yaan kama kuna mtu anamzunguka azizi k huyo hata stukiwa kirahisi mpaka pale azizi k atakapo staafu soka. Maana hiyo njemba inayo mla mobeto yeye kazi yake ni kucheki lineup ya yanga kama Mwamba kaanza na kikosi au yuko sub, wakisha thibitisha yuko kikosi na wao gemu yao inaanza baina ya hiyo njemba na Mobeto caros
EHS
 
"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto.

Chanzo: minotv_tz

Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke ambaye si tu Kazaa bali ameshazalishwa na Wanaume wawili huku tena Kisirisiri bado anakutana nao kwa Kupasha Kiporo.

Na kwa Sisi wenye Saikolojia Kali ya Asili (Kuzaliwa nayo) si ya Kusomea tunajua kuwa ukiona Mwanamke wako (Uliyemuoa) anakuambia kuwa hana Shida ya Wewe sijui Kumuolea Mke wa pili au hata akiambiwa una Mahawara Nje wala Hajali jua ya kwamba nae pia Anabanduliwa kisawasawa hivyo hapo Watu wa Betting (Kamali) tunamalizia kwa kusema kuwa hiyo ni G - G yaani both Teams to Score.

Kudadadeki Aziz K hakuna Rangi utaahcha kuiona kwa huyo Mkeo ambaye hata akulipae Mshahara TZA anambandua.
Kwa hiyo wewe uliye naye ni wa peke yako? Jibu swali usikae kimya
 
Hivi yule ni binti au mama wa watoto wawili?!
Labda Mimi ndio sielewi maana ya neno binti.
Kwa sisi Wazee wa mwaka 47, yule bado yupo kwenye Rika la binti.

Maana akisema atupe mechi moja tu, hatumalizi bila Presha na kisukari kutupanda 😜
 
Back
Top Bottom