Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hivi yule ni binti au mama wa watoto wawili?!Tumuache Hamisa wetu aitumikie Ndoa yake changa, maana sio jambo la kawaida Binti kuolewa na Fuso mbili za ng'ombe kama mahari
After all, si unajua wale ng'ombe wapo njiani saivi wanapelekwa ukweni Musoma 😜
Labda Mimi ndio sielewi maana ya neno binti.