Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Kimsingi siku hizi umekuwa mkomavu na kiongozi shujaa. Shukrani za dhati ziende kwa Shemeji yako na Baba wetu wa Kiroho Ustadh Gwajima au ukioenda muite Shehe Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa ππππ kwani alikutuliza. Hongera umebadilika na kuwa mama Vicky hasa. Sisi watoto wa Shehe Rashid tunajivunia sasa uwepo wako kama mama na kiongozi wetu. ππππNimeshafika nawaona tu hivi π³π³π³, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
πππKulikuwa na ulazima wa kumtagImagine Mhe. Waziri Dkt. Gwajima D amelazimika kusoma hapa.
OgNimeshafika nawaona tu hivi π³π³π³, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Hujui kuwa huyo Jamaa ni Mpumbavu na Mwendo?πππKulikuwa na ulazima wa kumtag
Ahsante Sana ndugu, karibu Sana, sms tu kuja 0765345777 tutumie fursa ya kidigitali kusukuma maendeleo na ustawi. Muda mchache sana βπ»Kumbe Mh Gwajima Upo? Natafuta namna ya kukufikia, soon nitafikisha ujumbe wangu ofsini kwako au Wizarani. Mimi nakutakia majukum mema Mheshimiwa
Wewe unapenda jina lipi kati ya Fariji na FarajaπHaya yamekuja baada ya kupigwa spana na Ustadhi Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa na Baba mkwe wake kuingilia.
Mama Vick akarudisha panga harani mwake ili kulinda ndoa, heshima na jina lake kwani alikatazwa hata kuitwa Gwajima. Sasa kawa mama Vick na Mrs. Gwajima kweli kweli. πππππ
Chezea Shehe Rashid mzee wa fitina a.k.a Mkono wa Baunsa.
Uko sahihi, kulikuwa na maswali ya wanahabari wanawake, sawa ya swali si jibu la ukweli? Au unasemaje ndugu yanguKwa hiyo mama Gwajima alitamka hayo kwa sababu zipi?
Maana inaonesha ni kama alikuwa akijibu hoja au kutolea ufafanuzi jambo fulani
Unaweza kuchagua tu jina unalopenda kati ya Fariji na Faraja tafadhaliKimsingi siku hizi umekuwa mkomavu na kiongozi shujaa. Shukrani za dhati ziende kwa Shemeji yako na Baba wetu wa Kiroho Ustadh Gwajima au ukioenda muite Shehe Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa ππππ kwani alikutuliza. Hongera umebadilika na kuwa mama Vicky hasa. Sisi watoto wa Shehe Rashid tunajivunia sasa uwepo wako kama mama na kiongozi wetu. ππππ
Ngoja nisearch ile vita ya Gwajima's youtube nijikumbushie Shehe Rashid alivyokuwa anatema fitina kwenye ukoo.
Sheria ya msajili wa NGO na kanuni zake ndiyo zita solve. Bila shaka naye anajua kuwa, anaweza kukata rufaa tu kwa mujibu wa sheria hiyo na kanuni zake. Vizuri Sana mambo kufanyiwa kazi yakiwa kwenye maandiko rasmi kwa mujibu wa Sheria husika.Mkuu kongole ukifika geneva pambania solve ile case ya benezeth vs mimutie women organization tunategemea busara zako.
N.B:Nisalimie Vicky
Halafu madaraka yakipita unaenda kuishi na nani, na kwa nini huku duniani ujichoshe hivyo, unasaka nini hasa jamani? Yaani mtu unakuwa unataka ku prove nini hasa kwenye huu muda mfupi wa maishaNi simpo tu, anampenda mume wake, mume wake naye anampenda, wanapendana na wanajenga ndoa imara pamoja na usomi wao. Mwanamke mwingine akiishakuwa msomi na kupata madaraka makubwa huiona ndoa yake kama kimba na kumzarau mume wake aliyemzidi kipato na wasifu. Anaishi maisha ya ndoa kwa matendo na maneno
Ni watu tu wanapenda kujichosha. Matatizo mengine tunajitafutie wenyeweHalafu madaraka yakipita unaenda kuishi na nani, na kwa nini huku duniani ujichoshe hivyo, unasaka nini hasa jamani? Yaani mtu unakuwa unataka ku prove nini hasa kwenye huu muda mfupi wa maisha
Hakika, na mbaya zaidi katika kukoleza hayo matatizo, tulio wengi tukiona mtu fulani hajichoshi na mambo mengi, tunaanza tena kumjadili kwa mitazamo hasi hasi na kutaka kumchosha na yeye huku sisi wenyewe tumeshajichosha. Inakuwa sasa heri mwenye hekima ya kujisimamia ndiyo ataepuka kujichosha na kuchoshwa na walimwengu..... πNi watu tu wanapenda kujichosha. Matatizo mengine tunajitafutie wenyewe
Mama la mamaπ₯π₯Halafu madaraka yakipita unaenda kuishi na nani, na kwa nini huku duniani ujichoshe hivyo, unasaka nini hasa jamani? Yaani mtu unakuwa unataka ku prove nini hasa kwenye huu muda mfupi wa maisha
Naona unamjaza tu Mheshimiwa Waziri katika 18 nae anaingia mzima mzima.Ni watu tu wanapenda kujichosha. Matatizo mengine tunajitafutie wenyewe
Mama Vicky, mie niko hapa Maji Maji stadium, Songea.Nimeshafika nawaona tu hivi [emoji15][emoji15][emoji15], karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Mama Swalehe.Wewe unaitwa mama nani,nikumbushe
Ila mama Vicky una heka heka weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unapenda jina lipi kati ya Fariji na Faraja[emoji16]
Mama Vicky una maneno kuntuu weyeee, LolHakika, na mbaya zaidi katika kukoleza hayo matatizo, tulio wengi tukiona mtu fulani hajichoshi na mambo mengi, tunaanza tena kumjadili kwa mitazamo hasi hasi na kutaka kumchosha na yeye huku sisi wenyewe tumeshajichosha. Inakuwa sasa heri mwenye hekima ya kujisimamia ndiyo ataepuka kujichosha na kuchoshwa na walimwengu..... [emoji28]