Nakuomba Tundu Lissu wewe binafsi uingilie kati sakata la viongozi wa Bavicha wanaosoteshwa Magereza na DPP anayeitumikia CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo Sept.11,2020 Mahakama ya Mkoa wa Singida imewanyima dhamana KM wa Bavicha Mh ( 400 X 640 ).jpg

Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .
 
Wameshtakiwa kwa makosa gani!?
ama tuhuma zao zinahusiana na nini?
 
View attachment 1566393

Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .
Kwanini msimwambie Kibatala?

ACT wazalendo wamemtoa Kubenea nyie mnambwelambwela!
 
CCM wanajitafutia laana kwa mambo kama haya!! Na ndiyo maana wanapata adhabu ya kuwasomba watu kwenye malori..ili walau wajae jae kwa mikutano yao...laana ya kutesa nafsi ya mtu haina tofauti na uchawi...ni laana mbaya mno ambayo huzaa roho ya kukataliwa!!
 
Mfumo mzima wa sheria umeoza, ndo mana kama nchi tunatakiwa kufanya mabadiliko makubwa sana ya kisiasa.

Angalia issue ya Lema alikaa mahabusu mda gani?

Ni vitendo vinavyojirudia na vitaendelea kujirudia
Lakini si unaona ilisaidia kumtoa kuota mdogo za kishetani?
Toka ametoka huko ile ndoto ya ibirisi ikamkimbia na sasa huko huru.😁😁😁😁
 
CCM wanajitafutia laana kwa mambo kama haya!! Na ndiyo maana wanapata adhabu ya kuwasomba watu kwenye malori..ili walau wajae jae kwa mikutano yao...laana ya kutesa nafsi ya mtu haina tofauti na uchawi...ni laana mbaya mno ambayo huzaa roho ya kukataliwa!!
Vipi bwashee leo Mpo wapi na mgombea?
 
Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubalik
mbona mnamtesa sana?pesa za kampeni atafute yeye,sera atunge yeye,waandishi aongee nao yeye,bado tu mnampa kesi asimamie,kampeni atafanya saa ngapi?
mkishindwa mnalia mmeibiwa
 
View attachment 1566393

Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .
Kama kweli ni kosa lenye dhamana kwa nini hawapewi dhamana. Ni kosa gani wanaloshitakiwa nalo. Hatupendi watu kuonewa hapa Tanzania.
 
View attachment 1566393

Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .
Tundu ndio nani nchi hii??
 
Back
Top Bottom