Nakuomba uchukue time kuangalia hii picha hlf unipe ushauri.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,975
Kuna kijiupele hiki kimenitokea upande wa chini ya mdomo, kinaniuma sana nini dawa yake jamani?
Huwa sio mara ya kwanza kinakuja hlf baada ya muda kinapotea na kurudi tena. Nipeni tiba wadau.
 
Attachments

  • S.jpg
    S.jpg
    30.7 KB · Views: 532
Mbona kama kidonda,!? hata mie huwa inanitokea especially nikiugua Malaria, ila kwa uhakika zaidi muone daktari..
 
Ni vizuri uende hospitali daktari afanye close check
 
Mkuu.@Wa kusoma Pole sana je umeshakwenda hospitali kuwaona Madaktari? Mimi ninakupa Dawa yangu ya Asili kila Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kojoa mkojo wako uweke kwenye mdomo wako kwa dakika chache kisha uteme fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utapona inshallah usikose kwenda hospitali. Jaribu kisha uje unipe Feedback.
 
Kuna kijiupele hiki kimenitokea upande wa chini ya mdomo, kinaniuma sana nini dawa yake jamani?
Huwa sio mara ya kwanza kinakuja hlf baada ya muda kinapotea na kurudi tena. Nipeni tiba wadau.
Kimbia hospitali uwahi, vinaenea mdomo mzima, ukishindwa kula tu, tumekupoteza.
 
Huwa vinatokea either umejiuma wakati wa kula au umejigonga na mswaki,sometime pia huwa kinaota kipele kikipasuka ndo inakuwa kidonda.dawa ni kukiosha tu na jaribu kutumia proper dental mouthwash ukimaliza kupiga mswaki.achana na mikojo ya mzizimkavu
 
Asante
 
Mkuu.@Wa kusoma Pole sana je umeshakwenda hospitali kuwaona Madaktari? Mimi ninakupa Dawa yangu ya Asili kila Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kojoa mkojo wako uweke kwenye mdomo wako kwa dakika chache kisha uteme fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utapona inshallah usikose kwenda hospitali. Jaribu kisha uje unipe Feedback.

Nini? Mkojo?
 
Ni vizuri uende hospitali daktari afanye close check

Nilimuona dk juzi alichoniambia alisema nisafishe hlf niweke chumvi, tatizo ni kwamba huwa kinapotea kama miezi mitatu kwa minne hlf kinarudi hapohapo.
 
Pole sana Wa kusoma.
Je kilitokea baada ya kujing'ata au kilikuja tuu??
Kama ni baada ya kujing'ata huwa vinapona vyenyewe, vinginevyo muone daktari

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
unauliza jibu mkuu Wa kusoma weka mkojo wako mdomoni kwa dakika 5 kisha tema utapona tumia siku 3 ukiweza usipoweza nenda hospitali ukatibiwe hiyo ni tiba mbadala. Hutakiona tena hicho kipele kwenye chini ya meno yako tena. Chanzo:MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.

Asante mkuu mm ngoja nifanye hivyo
 
Mkuu.@Wa kusoma Pole sana je umeshakwenda hospitali kuwaona Madaktari? Mimi ninakupa Dawa yangu ya Asili kila Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kojoa mkojo wako uweke kwenye mdomo wako kwa dakika chache kisha uteme fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utapona inshallah usikose kwenda hospitali. Jaribu kisha uje unipe Feedback.
...ptuuu !!...
 
Pole, mm nilikua na tatizo hilo,
kumbe dawa ya meno niliyokuwa natumia
ndo sbb, Nilipobadilisha na kutumia colgate
tatizo limepotea kabisa. Inabidi utafiti
dawa gani ya meno inakufaa.
 
Back
Top Bottom