Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Asante mkuu mm ngoja nifanye hivyo
Mkuu unawezekana sio tatizo kubwa. Lakini dalili za kansa huanza hivi hivi... Kansa hutibika ukiwahi hospitali. Pamoja na ushauri wa dawa mbalimbai unaopewa huku, hebu jali afya na maisha yako kwa kwenda kumuona Dr kwanza...