Kimbia hospitali uwahi, vinaenea mdomo mzima, ukishindwa kula tu, tumekupoteza.Kuna kijiupele hiki kimenitokea upande wa chini ya mdomo, kinaniuma sana nini dawa yake jamani?
Huwa sio mara ya kwanza kinakuja hlf baada ya muda kinapotea na kurudi tena. Nipeni tiba wadau.
Huwa vinatokea either umejiuma wakati wa kula au umejigonga na mswaki,sometime pia huwa kinaota kipele kikipasuka ndo inakuwa kidonda.dawa ni kukiosha tu na jaribu kutumia proper dental mouthwash ukimaliza kupiga mswaki.achana na mikojo ya mzizimkavu
Mkuu.@Wa kusoma Pole sana je umeshakwenda hospitali kuwaona Madaktari? Mimi ninakupa Dawa yangu ya Asili kila Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kojoa mkojo wako uweke kwenye mdomo wako kwa dakika chache kisha uteme fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utapona inshallah usikose kwenda hospitali. Jaribu kisha uje unipe Feedback.
unauliza jibu mkuu Wa kusoma weka mkojo wako mdomoni kwa dakika 5 kisha tema utapona tumia siku 3 ukiweza usipoweza nenda hospitali ukatibiwe hiyo ni tiba mbadala. Hutakiona tena hicho kipele kwenye chini ya meno yako tena. Chanzo:MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.Nini? Mkojo?
unauliza jibu mkuu Wa kusoma weka mkojo wako mdomoni kwa dakika 5 kisha tema utapona tumia siku 3 ukiweza usipoweza nenda hospitali ukatibiwe hiyo ni tiba mbadala. Hutakiona tena hicho kipele kwenye chini ya meno yako tena. Chanzo:MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
Hapana mimi nahisi atakuwa na kisukarikinga za mwili zimepungua
...ptuuu !!...Mkuu.@Wa kusoma Pole sana je umeshakwenda hospitali kuwaona Madaktari? Mimi ninakupa Dawa yangu ya Asili kila Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kojoa mkojo wako uweke kwenye mdomo wako kwa dakika chache kisha uteme fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utapona inshallah usikose kwenda hospitali. Jaribu kisha uje unipe Feedback.