Nakuomba uchukue time kuangalia hii picha hlf unipe ushauri.

Pole, mm nilikua na tatizo hilo,
kumbe dawa ya meno niliyokuwa natumia
ndo sbb, Nilipobadilisha na kutumia colgate
tatizo limepotea kabisa. Inabidi utafiti
dawa gani ya meno inakufaa.

Asante mkuu mm huwa natumia Aha!
 
Astaghafirlah!!!!
 
Pole sana Mkuu!

Hiyo ni aidha RECCURRENT HERPES LABIALIS au FIXED DRUG REACTION


Kama ni herpes labialis hakuna cha kufanya maana hiyo inatokana na virus aitwaye herpes simplex virus type 1 ambayo uliambukizwa utotoni. Na viral infections hazina specific treatment. Kidonda/vodonda vya namna hii hutokea mara nyingi baada ya kuugua ugonjwa unaoambatana na homa kama vile malaria.


Fixed drug reaction is an alergic condition, mara nyingi alergic to drugs containing sulpha kama vile septrin na dawa za malaria zitumikazo sasa. Kidonda hiki kinakuja baada ya kutumia hizi dawa na kinatoweka baada ya kuacha kuzitumia, halafu kinarudi tena utakapoanza kuzitumia, and so on.
 
MziziMkavu asante kwa ushauri
mengine tunayahifadhi kama akiba.
 
Last edited by a moderator:
Gefu unatema mate,
ngoja uugue uone kama haujaukinga mwenyewe na kuunywa mwenyewe
usiombe kabisa, hakuna kitu mbaya kama kuumwa Gefu.

...with all due respect, Mamndenyi,mkojo !!??, ule wanasemaga wa punda tu unanishinda...
 
Gefu miaka ya 80s nikiwa mkoa fulani huko kusini
ofisi moja kubwa sana gonjwa lilichachamaa wakawa wanapukutika kama kuku wa kideri
mmoja kawadokeza kuhusu tiba ya mkojo, unaambiwa wao waliona kama ule mkojo wa asubuhi hautoshi
ikabidi waweke vikopo chooni kila mmoja na alama ya kopo lake, kila akienda kukojoa anakinga na kuunywa.

ilikija unakuwa mdogo kama kapriton na unakuwa hauna ujanja tena.

...with all due respect, Mamndenyi,mkojo !!??, ule wanasemaga wa punda tu unanishinda...
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe una akili kweli hapa ni hospitali hapo ulipo hakuna hospitali nenda hospitali acha ujinga wewe pumbavu sana
 
... daah yakikufika huchagui kabila,kila lugha utaijua tu,mengine urembo tu... naunga mkono hoja ila kwa taaabu sana kama kwa 50.1%....
 
walau kwa 50.1% baada ya kutumia juhudi yangu ya ziada
heshima kubwa kwako Gefu.

... daah yakikufika huchagui kabila,kila lugha utaijua tu,mengine urembo tu... naunga mkono hoja ila kwa taaabu sana kama kwa 50.1%....
 
Last edited by a moderator:
heeee hivi watu wengine mathusi huwa yapo wapi
daaah, kidogo tu tayari,
tena afadhali ya huyo mgonjwa maana wewe ndo uko hoi zaidi yake.

hivi wewe una akili kweli hapa ni hospitali hapo ulipo hakuna hospitali nenda hospitali acha ujinga wewe pumbavu sana
 
kitu cha kawaida tu sukutua na maji ya vuguvugu ya chumvi asbuhi na jioni
 
Tatizo lako ni dogo sana, wewe huwa unapiga mswaki kwa haraka haraka sana au bila utaratibu mzuri; kinachotokea unajigonga na mswaki afu kinakuwa ni kakijidonda kadogo hivi.
piga mwaki taratibu tu tatizo lako litaisha.
 
pole nenda hospital yawezekana ni gonoherea ya mdomoni chukua hatua
 
Homa za usiku, nenda hospital
 
Kuna kijiupele hiki kimenitokea upande wa chini ya mdomo, kinaniuma sana nini dawa yake jamani?
Huwa sio mara ya kwanza kinakuja hlf baada ya muda kinapotea na kurudi tena. Nipeni tiba wadau.
wa kusoma kamuone daktari wa kinywa au daktari wa masuala ya vidonda hurry b4 things get worse usidhara.
 
Kuna kijiupele hiki kimenitokea upande wa chini ya mdomo, kinaniuma sana nini dawa yake jamani?
Huwa sio mara ya kwanza kinakuja hlf baada ya muda kinapotea na kurudi tena. Nipeni tiba wadau.

hujui kupiga mswaki na pia unatumia mswaki uliochoka unakupa kidonda, tumia mswaki mmoja kwa wiki kisha nunua mwingine, trust me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…