Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Muda wa Kampeni bado ukifika watayasema yanayotakiwa.
Hakjna cha mrengo wala mrwmbo.
Mbona mkuu anafanya kampeni tangu muda mrefu?! Kugawa pesa kila aendako zinapangiwa na nani?? Muda utafika wana ccm tutajielewa.
 
Wapinzani ndio wameishiwa wajenga hoja na ndio mnafikia wakati mnacho angalia kwenye thread nzito nzito huwa mnachambua makosa ya kiuwandishi na sio kuchambua hoja.
Hebu babu WA kiuyu ni ipi hoja madhubuti wanayoitumia ccm ili tuvutiwe nayo?
 
Upo katika ndoto za mchana au?
 
Unamtetesha
 
Najuta kusoma takataka zako
 
Hayo yote uliyoandika hapa ulipaswa kumpatia Mwenyekiti wako ayasome na kuyazingatia, yote yamemlenga yeye moja kwa moja.
 
Kamuonye bi mkubwa wako asizae tena taahira kama wewe
 
umenena vizuri kuhusu Lissu, namuonea huruma, aungane na timu hodari ya JPM kujenga taifa.
 
Mwaka huu lazima tuwashikishe adabu wakoloni wa kijani!

October 28 tunamwaga pombe chini, mkiiba kura tunawachinja!

Sanduku la kura liheshimiwe, otherwise tutapita na kichwa cha mtu

Uvumilivu sasa basi!
 
Ccm bila watu kama wewe isingekuwepo hadi leo
Hahaha unazungumzia ccm badala ya ku zungumzia chadema..ambayo viongozi wake waandamizi wameenda kuunga mkono Magufuli. Ilitakiwa isiwepo chadema mna bahati. Lakini bado watanzania watawaonyesha kwenye sanduku la kura kama wao ni mbumbumbu au werevu..muulizeni mange Li Kimavi anajua
 
Hahaha unazungumzia ccm badala ya ku zungumzia chadema..ambayo viongozi wake waandamizi wameenda kuunga mkono Magufuli. Ilitakiwa isiwepo chadema mna bahati
Wavuta bhange jana mmejionyesha kuwa hamfai kuliongoza taifa
 
Ukweli wa mambo tuache kudanganywa Lissu hafai, endelea
Nimemsikiliza Patrobas kwakweli hajajibu hoja hata moja kati ya hoja za Lissu na Zitto. Nilichosikia ni personal attacks, mara kalipiwa kodi ya nyumba na mama yake mara Lissu namjua vizuri.....Nyie CCM hebu mwambieni Katambi arudie tena interview ajibu nondo za Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…