Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ukiambiwa una akili kisoda utabisha?Sijui TUNDU LISU atajinadi kwa sera zipi maana kila kitu kimesha tekelezwa na Mwanajeshi kamili MAGUFULI sio yeye Tundu Lisu sungusungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiambiwa una akili kisoda utabisha?Sijui TUNDU LISU atajinadi kwa sera zipi maana kila kitu kimesha tekelezwa na Mwanajeshi kamili MAGUFULI sio yeye Tundu Lisu sungusungu
Huruma gani wakati wanapata watu kibao😂
Msukule hawezi kuelewa kitu wala kuona
Mnazidi kunielewa kuwa wanatekeleza wenyewe ili kupata PlatformWewe ndio mtekelezaji wa huo mpango acheni kutuletea sana
Uchaguzi uwe huru na haki,tofauti na hapo safari hii kitaeleweka!Mbona majimbo mliyoshinda hamkusema kama uchaguzi haukuwa wa halali au haram ni pale mnaposhindwa tuuu.
Tukishawaondoa tunamkabidhi nani? Uraisi hausomewi lakini tunahitaji mtu makini ,serikali makini na chama makini.Je wapizani wameishajipanga kutwaa dola?CCM wanalalamikia chadema kufanya vurugu, wapinzani wanalalamika kufanyiwa vurugu tumuelewe na tumsikilize Nani.
hakuna serikali au polisi wawakamate hao wafanya vurugu. Au serikali nayo inalalamika kufanyiwa vurugu
Kama vipi tuungane kuiondoa hii serikali dhalimu ambayo haijui majukumu yake.
*Haki uinua Taifa*
Mnatafuta kivuli cha kujifichaHakuna kitu hapo zote hizo ni sababu za kumtafutia makosa Lissu ili mumufunge kwa makosa ya kuandaliwa na CCM.
Tumepanic sisi au ninyi mnaotokwa na mapovuHivi kwanini CCM mmepanic mapema namna hii?
Lini mlikataa mlipotangazwa washindi popote pale mliposhinda kama uchaguzi haukuwa huru na haki?Uchaguzi uwe huru na haki,tofauti na hapo safari hii kitaeleweka!
Hata ofisi hawana. Wameshindwa kujipanga kwenye mambo yao watajipanga kwenye hili. Wepesi mnooTukishawaondoa tunamkabidhi nani?
Uraisi hausomewi lakini tunahitaji mtu makini ,serikali makini na chama makini.Je wapizani wameishajipanga kutwaa dola?
Ushahidi wa mazingira upo (circumstancial evidence)Unaushahidi wa hili?
Ni ushahidi mfu huoUshahidi wa mazingira upo(circumstancial evidence)
Wewe ndiyo umekuwa msemaji wa ikulu?Kumuonya mtu si kuweweseka
Pumbavu kabisa Wewe, kati ya Lissu na yule Fala aliyetuma Majambazi yake yampige Lissu risasi 38 nani anasababisha vurugu?Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.
lakini hatuwezi kumshanga Tundu Lisu kwa sababu kubwa moja uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi sababu katika kipindi cha miaka mitano wameweza kutekeleza Ilani yao kwa asilimia 100 chini ya uongozi hodari na thabiti wa Mh. Rais John Pombe Magufuli kwa kuweza kusimamia kwa vitendo utekelezaji wake wa Ilani hiyo.
Nakuonya Tundu Lissu usije ukajaribu wala kurogwa kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa malengo yako binafsi na watu wanaokutuma yaani Mabeberu ndio maana nimeamua kukuonya kwanza ili watanzania watakapo kuja kukuonya katika sanduku la kura usije ukaona umeonewa na ukaanzisha vurugu na vikundi vyako vilivyopo ndani ya chadema.
Nakuonya Tundu Lissu uchaguzi wa mwaka huu nikuhakikishie Ajenda ya Watanzania wanachagua maendeleo na si kelele unazopiga katika majukwaa ni bora ushauri wapi kunatakiwa kuboreshwa na si kujenga hoja za kuligawa taifa letu.
Nakuonya Tundu Lissu nibora ujiengue katika hiki kinyanganyiro maana unakwenda kupata aibu na kukifanya CHADEMA kuwa chama cha tatu au cha nne katika upinzani hivyo basi ni bora ukae pembeni au uungane na jeshi la Magufuli katika kufanya siasa za maendeleo anazozifanya MAGUFULI
Nakuonya Tundu Lissu kuwa muangalifu na chukua tahadhali kubwa katika kipindi hiki kama mgombea wa CHADEMA maana utapokea maelekezo mbali mbali kutoka kwa viongozi wenzio ndani ya CHADEMA kwa mazumuni ya kuleta vurugu katika nchi usije ukakubali kuwa katika mpango mkakati huo.
Mwisho nakuonya Tundu Lissu tumia muda huu kupumzika maana naamini kinga za mwili wako bado hazipo sawa kufanya wewe uwezi kufanya kampeni tena za kuzunguka nchi nzima hivyo jali kwanza afya yako maana afya ni bora kuliko hiko unachokipigania
Kundule lako wewe jamaa!Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.
lakini hatuwezi kumshanga Tundu Lisu kwa sababu kubwa moja uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi sababu katika kipindi cha miaka mitano wameweza kutekeleza Ilani yao kwa asilimia 100 chini ya uongozi hodari na thabiti wa Mh. Rais John Pombe Magufuli kwa kuweza kusimamia kwa vitendo utekelezaji wake wa Ilani hiyo.
Nakuonya Tundu Lissu usije ukajaribu wala kurogwa kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa malengo yako binafsi na watu wanaokutuma yaani Mabeberu ndio maana nimeamua kukuonya kwanza ili watanzania watakapo kuja kukuonya katika sanduku la kura usije ukaona umeonewa na ukaanzisha vurugu na vikundi vyako vilivyopo ndani ya chadema.
Nakuonya Tundu Lissu uchaguzi wa mwaka huu nikuhakikishie Ajenda ya Watanzania wanachagua maendeleo na si kelele unazopiga katika majukwaa ni bora ushauri wapi kunatakiwa kuboreshwa na si kujenga hoja za kuligawa taifa letu.
Nakuonya Tundu Lissu nibora ujiengue katika hiki kinyanganyiro maana unakwenda kupata aibu na kukifanya CHADEMA kuwa chama cha tatu au cha nne katika upinzani hivyo basi ni bora ukae pembeni au uungane na jeshi la Magufuli katika kufanya siasa za maendeleo anazozifanya MAGUFULI
Nakuonya Tundu Lissu kuwa muangalifu na chukua tahadhali kubwa katika kipindi hiki kama mgombea wa CHADEMA maana utapokea maelekezo mbali mbali kutoka kwa viongozi wenzio ndani ya CHADEMA kwa mazumuni ya kuleta vurugu katika nchi usije ukakubali kuwa katika mpango mkakati huo.
Mwisho nakuonya Tundu Lissu tumia muda huu kupumzika maana naamini kinga za mwili wako bado hazipo sawa kufanya wewe uwezi kufanya kampeni tena za kuzunguka nchi nzima hivyo jali kwanza afya yako maana afya ni bora kuliko hiko unachokipigania
Juzi kwenye mazishi ya Mkapa jamaa yenu alichelewa muda wa saa 4 kwa sababu ya afya mgogoro,Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.