Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Hii nayo ni thread nzito?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Daaah,hakuna ulichoandika zaidi ya porojo!Mkifanya ya Jecha kitaeleweka awamu hii!Ifikie mahali sanduku la kura liheshimiwe na liogopwe kuchezewa!
Mbona majimbo mliyoshinda hamkusema kama uchaguzi haukuwa wa halali au haram ni pale mnaposhindwa tuuu.
 
Mark my words! Magufuli ndo majibu yake atayapata October. Hakuna rangi ataacha ona iyo October nakwambia
Hakuna kitu Kama hicho wewe hivi lili marufuku mmelisahau nyie ebu ngoja niwakumbushe.


NI MARUFUKU KUMRINGANISHA MAGUFULI NA VITU VYA AJABU YA AJABU
 
Kungekua hakuna hoja wewe ungekuja hapa kujitokeza? Jua kuwa jiwe limekutoa ulikokuwa umejificha sindano na dawa zimeingia babuu
Sindano zinawaingia nyinyi waramba miguu
tapatalk_1492528511516.jpg
 
Back
Top Bottom