Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

CCM wamepagawa wanajidai kusema wameleta maendeleo cha ajabu hawataki kutumia maendeleo kupata kura wamebakia kuleta mada ndefu mitandaoni pasipo kuzingatia kuwa watanzania wameamka wana Akili kubwa kuliko CCM wachache waliojitoa fahamu
Nani kashindwa kutumia maendeleo wakati ninyi ndiyo mnajifanya hamuoni mmejitia upofu? Watanzania wanachukizwa sana na tabia zenu
 
CCM wanalalamikia chadema kufanya vurugu, wapinzani wanalalamika kufanyiwa vurugu tumuelewe na tumsikilize Nani.

hakuna serikali au polisi wawakamate hao wafanya vurugu. Au serikali nayo inalalamika kufanyiwa vurugu

Kama vipi tuungane kuiondoa hii serikali dhalimu ambayo haijui majukumu yake.

*Haki uinua Taifa*
Umeshindwa kujificha kwenye maandishi yako! Ulianza kama mtu huru baadaye umejikuta umechagua upande wa kuutumikia. Chuki
 
Watetezi wa CCM mitandaoni wamejitoa fahamu zote wameamua kuleta mada ndefu zisizo na tija wakidhani watanzania ni wajinga kama wao
Kwani wewe mmoja ni Watanzania? Wewe mmoja usipotuunga mkono ni demokrasia na sisi hatuwezi tulibaliwe na wote tunataka asilimia 89 kwenda juu na tutashinda kwa kishindo kikubwa
 
Hoja ipi huko CCM? CCM mna hoja? Tokea lini wanaccm wawe na hoja? ebu lete hoja kwa mfano, kama CCM mngekuwa na hoja mngehangaika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi Chadema?
Kwahiyo kipimo cha hoja yenye mashiko kwako wewe ni kuwaacha wapinzani hata wanapokuwa na hatia? Ndiyo nchi mnayoiota hiyo? Kwamba MPINZANI kaifanya kosa siyo kesi? Hii nchi inafuata sheria siyo katiba ya CHADEMA
 
CDM wamevurugwa
Ccm ndiyo mliyo vurugwa baada ya kugundua kuwa mlikuwa mnapoteza pesa nyingi kuwanunua viongozi wa cdm mkiamini ndiyo mmeimaliza cdm, kumbe ndiyo mlikuwa mnaweka mbolea ya kuistawisha cdm. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo kipimo cha hoja yenye mashiko kwako wewe ni kuwaacha wapinzani hata wanapokuwa na hatia? Ndiyo nchi mnayoiota hiyo? Kwamba MPINZANI kaifanya kosa siyo kesi? Hii nchi inafuata sheria siyo katiba ya CHADEMA
Sheria zipi hizo mnazo zifuata nyinyi? Au ile sheria ya mbunge kutangaza kujiuzuru chama lkn Ndugaye akamlazimisha kuendelea kubakia bungeni akiendelea kupokea mshahara na posho za vikao?
 
Back
Top Bottom