Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Ndo matokeo ya Polepole kuokoteza watetezi wa CCM wasio na uwezo.

Alafu na huyu anajiita kada wa chama anaye tarajia uteuzi... Hata Kuandika hajui... Inasikitisha Sana.

Hawa pumzi ishakata wanategea hisani ya polisi, tume, msajiri wa vyama na mahakama... Kabla hawajafikiria kumbe wenzao washajua Hadi wanachokitaka...
 
We unamuonya Kama Nani?
Na Bado mtaweweseka Sana.
#2020 NI-YEYE
 
Hivi kweli kabisa waTz na akili zao timamu wakampigie kura TUNDU LISU na ule uchizi uliomja kichwani???
Hilo Jambo halitoweza kutokea milele daima
Mbona mmevipiga mkwara vyombo vya habari kuonyesha taarifa zake??? Tutaelewana mwaka huu, kama mlizoea vya kuchinja mwaka huu ni vya kunyonga sasa.
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mlengo wa vulungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.

lakini hatuwezi kumshanga Tundu Lisu kwa sababu kubwa moja uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Chama cha mapinduzi sababu katika kipindi cha miaka mitano wameweza kutekeleza Ilani yao kwa asilimia 100 chini ya uongozi hodari na thabiti wa Mh. Rais John Pombe Magufuli kwa kuweza kusimamia kwa vitendo utekelezaji wake wa Ilani hiyo.

Nakuonya Tundu Lissu usije ukajalibu wala kurogwa kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa malengo yako binafsi na watu wanaokutuma yaani Mabeberu ndio maana nimeamua kukuonya kwanza ili watanzania watakapo kuja kukuonya katika sanduku la kura usije ukaona umeonewa na ukaanzisha vurugu na vikundi vyako vilivyopo ndani ya chadema.

Nakuonya Tundu Lissu uchaguzi wa mwaka huu nikuhakikishie Ajenda ya watanzania wanachagua maendeleo na si kelele unazopiga katika majukwaa ni bora ushauri wapi kunatakiwa kuboreshwa na si kujenga hoja za kuligawa taifa letu.

Nakuonya Tundu Lissu nibora ujiengue katika hiki kinyanganyiro maana unakwenda kupata aibu na kukifanya CHADEMA kuwa chama cha tatu au cha nne katika upinzani hivyo basi ni bora ukae pembeni au uungane na jeshi la Magufuli katika kufanya siasa za maendeleo anazozifanya MAGUFULI

Nakuonya Tundu Lissu kuwa muangalifu na chukua tahadhali kubwa katika kipindi hiki kama mgombea wa CHADEMA maana utapokea maelekezo mbali mbali kutoka kwa viongozi wenzio ndani ya CHADEMA kwa mazumuni ya kuleta vurugu katika nchi usije ukakubali kuwa katika mpango mkakati huo.

Mwisho nakuonya Tundu Lissu tumia muda huu kupumzika maana naamini kinga za mwili wako bado hazipo sawa kufanya wewe uwezi kufanya kampeni tena za kuzunguka nchi nzima hivyo jali kwanza afya yako maana afya ni bora kuliko hiko unachokipigania
Hashauriki huyo msaliti Lissu tunasubiri tarehe 28/10/2020 tumchinjie baharini.
 
Wasugusu utawajua kwa kiswahili chao "vulugu " badala ya vurugu .
 
Huo uchafu wako peleka kwa vilaza wenzako wa Lumumba!!
 
Kamuonye kwanza mama yako kwa kukuzaa toto jinga jinga kama wewe.
 
Wewe bila shaka ni cyprian musiba. Umeona magazeti yako hayasomwi umekuja kuandika huku uharo wako.
 
Wapinzani ndio wameishiwa wajenga hoja na ndio mnafikia wakati mnacho angalia kwenye thread nzito nzito huwa mnachambua makosa ya kiuwandishi na sio kuchambua hoja.
Hii nayo ni thread nzito?😁😁😁😁😁😁Daaah,hakuna ulichoandika zaidi ya porojo!Mkifanya ya Jecha kitaeleweka awamu hii!Ifikie mahali sanduku la kura liheshimiwe na liogopwe kuchezewa!
 
Back
Top Bottom