Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Hii nayo ni thread nzito?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Daaah,hakuna ulichoandika zaidi ya porojo!Mkifanya ya Jecha kitaeleweka awamu hii!Ifikie mahali sanduku la kura liheshimiwe na liogopwe kuchezewa!
Tumestuka hakuna mtu atakaye ingia mtaani kwa ujinga wenu na huyo kowadi na msaliliti wa taifa
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mlengo wa vulungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.

lakini hatuwezi kumshanga Tundu Lisu kwa sababu kubwa moja uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Chama cha mapinduzi sababu katika kipindi cha miaka mitano wameweza kutekeleza Ilani yao kwa asilimia 100 chini ya uongozi hodari na thabiti wa Mh. Rais John Pombe Magufuli kwa kuweza kusimamia kwa vitendo utekelezaji wake wa Ilani hiyo.

Nakuonya Tundu Lissu usije ukajalibu wala kurogwa kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa malengo yako binafsi na watu wanaokutuma yaani Mabeberu ndio maana nimeamua kukuonya kwanza ili watanzania watakapo kuja kukuonya katika sanduku la kura usije ukaona umeonewa na ukaanzisha vurugu na vikundi vyako vilivyopo ndani ya chadema.

Nakuonya Tundu Lissu uchaguzi wa mwaka huu nikuhakikishie Ajenda ya watanzania wanachagua maendeleo na si kelele unazopiga katika majukwaa ni bora ushauri wapi kunatakiwa kuboreshwa na si kujenga hoja za kuligawa taifa letu.

Nakuonya Tundu Lissu nibora ujiengue katika hiki kinyanganyiro maana unakwenda kupata aibu na kukifanya CHADEMA kuwa chama cha tatu au cha nne katika upinzani hivyo basi ni bora ukae pembeni au uungane na jeshi la Magufuli katika kufanya siasa za maendeleo anazozifanya MAGUFULI

Nakuonya Tundu Lissu kuwa muangalifu na chukua tahadhali kubwa katika kipindi hiki kama mgombea wa CHADEMA maana utapokea maelekezo mbali mbali kutoka kwa viongozi wenzio ndani ya CHADEMA kwa mazumuni ya kuleta vurugu katika nchi usije ukakubali kuwa katika mpango mkakati huo.

Mwisho nakuonya Tundu Lissu tumia muda huu kupumzika maana naamini kinga za mwili wako bado hazipo sawa kufanya wewe uwezi kufanya kampeni tena za kuzunguka nchi nzima hivyo jali kwanza afya yako maana afya ni bora kuliko hiko unachokipigania
JUMA JUMA ACHA UNAFIKI UTAKUFA MDOMO WAZI .....CHANZO KIKUBWA CHA VURUGU NI WATU WETU SISI (DCs and RCs).
 
Ya Malawi Congo kenya yanaenda kutokea Tanzania
Malawi chama tawala kilitolewa kikaingia chama pinzani cha akina Mutharika sasa kimerudi chama tawala sijui kama unaelewa hili usije ukawa kama wasiojua wanaofikiri chama kilichoshindwa Malawi ni tawala. Kumbuka upinzani malawi walishindwa kupaform ndiyomaana wametolewa sasa Tanzania siyo mahabara kwamba tuwape nchi ya majaribio
 
Kama wewe ulivyo kariri mtazamo
Huyu ndiyo rais wako
photo%20266%2012-18-0.jpg
 
Chadema inaonekana hayo maonyo Kama yamewagusa vile. Tulieni makamandaa sindano iwaingie[emoji23][emoji23]
Sindano zinawaingia nyinyi waramba viatu maana mnajua kuwa Jiwe asipo pata urais ndiyo mwisho wenu wa maisha maana hakuna mtu atawapatia kazi ya umbea
tapatalk_1583586417821.jpg
 
Angalia MPUUZI mwingine huyu. Wewe ni nani Nchi hii hadi uandike ujinga huu dhidi ya Lissu? 😳😳😳 Acha KUJIKWEZA STAY ON YOUR LANE. You’re NOBODY in this country.

Back
Top Bottom