Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Mwaka huu lazima tuwashikishe adabu wakoloni wa kijani!

October 28 tunamwaga pombe chini, mkiiba kura tunawachinja!

Sanduku la kura liheshimiwe, otherwise tutapita na kichwa cha mtu

Uvumilivu sasa basi!
Hii kazi hasa ndio taaluma yenu na sio uongozi wa nchi.kama mnafkia hatua ya kujichomea ofisi yenu ya Arusha ili kutafuta like kwa wananchi..mnaweza hata kuchoma nchi yote..Subiri ni zawadi yenu kwenye sanduku la kura..msitufanye watanzania wajinga nyinyi majuha. Mtu ana piga risasi upande wa kushoto halafu mguu unaovunjika wa kulia eti risasi imepiga kona..Hii ndio kazi mnayoiweza
 
Alisema hatakubali kushindwa wapi ,,
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.

lakini hatuwezi kumshanga Tundu Lisu kwa sababu kubwa moja uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi sababu katika kipindi cha miaka mitano wameweza kutekeleza Ilani yao kwa asilimia 100 chini ya uongozi hodari na thabiti wa Mh. Rais John Pombe Magufuli kwa kuweza kusimamia kwa vitendo utekelezaji wake wa Ilani hiyo.

Nakuonya Tundu Lissu usije ukajaribu wala kurogwa kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa malengo yako binafsi na watu wanaokutuma yaani Mabeberu ndio maana nimeamua kukuonya kwanza ili watanzania watakapo kuja kukuonya katika sanduku la kura usije ukaona umeonewa na ukaanzisha vurugu na vikundi vyako vilivyopo ndani ya chadema.

Nakuonya Tundu Lissu uchaguzi wa mwaka huu nikuhakikishie Ajenda ya Watanzania wanachagua maendeleo na si kelele unazopiga katika majukwaa ni bora ushauri wapi kunatakiwa kuboreshwa na si kujenga hoja za kuligawa taifa letu.

Nakuonya Tundu Lissu nibora ujiengue katika hiki kinyanganyiro maana unakwenda kupata aibu na kukifanya CHADEMA kuwa chama cha tatu au cha nne katika upinzani hivyo basi ni bora ukae pembeni au uungane na jeshi la Magufuli katika kufanya siasa za maendeleo anazozifanya MAGUFULI

Nakuonya Tundu Lissu kuwa muangalifu na chukua tahadhali kubwa katika kipindi hiki kama mgombea wa CHADEMA maana utapokea maelekezo mbali mbali kutoka kwa viongozi wenzio ndani ya CHADEMA kwa mazumuni ya kuleta vurugu katika nchi usije ukakubali kuwa katika mpango mkakati huo.

Mwisho nakuonya Tundu Lissu tumia muda huu kupumzika maana naamini kinga za mwili wako bado hazipo sawa kufanya wewe uwezi kufanya kampeni tena za kuzunguka nchi nzima hivyo jali kwanza afya yako maana afya ni bora kuliko hiko unachokipigania
 
Nimemsikiliza Patrobas kwakweli hajajibu hoja hata moja kati ya hoja za Lissu na Zitto. Nilichosikia ni personal attacks, mara kalipiwa kodi ya nyumba na mama yake mara Lissu namjua vizuri.....Nyie CCM hebu mwambieni Katambi arudie tena interview ajibu nondo za Lissu
Issue iwe Lissu kumjibu katambi
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.

lakini hatuwezi kumshanga Tundu Lisu kwa sababu kubwa moja uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi sababu katika kipindi cha miaka mitano wameweza kutekeleza Ilani yao kwa asilimia 100 chini ya uongozi hodari na thabiti wa Mh. Rais John Pombe Magufuli kwa kuweza kusimamia kwa vitendo utekelezaji wake wa Ilani hiyo.

Nakuonya Tundu Lissu usije ukajaribu wala kurogwa kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa malengo yako binafsi na watu wanaokutuma yaani Mabeberu ndio maana nimeamua kukuonya kwanza ili watanzania watakapo kuja kukuonya katika sanduku la kura usije ukaona umeonewa na ukaanzisha vurugu na vikundi vyako vilivyopo ndani ya chadema.

Nakuonya Tundu Lissu uchaguzi wa mwaka huu nikuhakikishie Ajenda ya Watanzania wanachagua maendeleo na si kelele unazopiga katika majukwaa ni bora ushauri wapi kunatakiwa kuboreshwa na si kujenga hoja za kuligawa taifa letu.

Nakuonya Tundu Lissu nibora ujiengue katika hiki kinyanganyiro maana unakwenda kupata aibu na kukifanya CHADEMA kuwa chama cha tatu au cha nne katika upinzani hivyo basi ni bora ukae pembeni au uungane na jeshi la Magufuli katika kufanya siasa za maendeleo anazozifanya MAGUFULI

Nakuonya Tundu Lissu kuwa muangalifu na chukua tahadhali kubwa katika kipindi hiki kama mgombea wa CHADEMA maana utapokea maelekezo mbali mbali kutoka kwa viongozi wenzio ndani ya CHADEMA kwa mazumuni ya kuleta vurugu katika nchi usije ukakubali kuwa katika mpango mkakati huo.

Mwisho nakuonya Tundu Lissu tumia muda huu kupumzika maana naamini kinga za mwili wako bado hazipo sawa kufanya wewe uwezi kufanya kampeni tena za kuzunguka nchi nzima hivyo jali kwanza afya yako maana afya ni bora kuliko hiko unachokipigania
watakao ingiza taifa hili kwenye machafuko ni ccm na wameshaanza,Raisi ni Lisu 2020
 
Kwa nini vijana wa green mnajifanya miungu? Mkiona kidogo mnashindwa hoja lazima mtukane ama muwajulishe wenzenu kuwa nyie chama chenu kinalindwa! Hivyo mtashinda tu!
 
Huyu jumajuma ni nani mbona leo kakazana sana?
Kwanini watu fulani wanachukulia kuambiwa hawajafanya kitu ni matusi? Hivi vijana wa hawa mnajua maana ya matusi?
Anayetaka kuleta vurugu Tz anajulikana siku nyingi na siyo TAL ni wale wasiojulikana na wanaorusha mawe na kuchoma ofisi na inajulikana ni nani anawalipa hawa!
Mungu ibaraki Tanzania
 
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ndiyo kuleta vurugu, CCM inawanyanyasa wapinzani ikizani watavumilia milele, hakuna mabaya yasiyo na mwisho.
 
Hahaha unazungumzia ccm badala ya ku zungumzia chadema..ambayo viongozi wake waandamizi wameenda kuunga mkono Magufuli. Ilitakiwa isiwepo chadema mna bahati. Lakini bado watanzania watawaonyesha kwenye sanduku la kura kama wao ni mbumbumbu au werevu..muulizeni mange Li Kimavi anajua
Wewe unaendelea kuvuta Bangi mpaka lini? Cyprian Musiba amekukaririsha upumbavu wake mpaka na wewe umekuwa zezeta zuzu, huna unachokijua zaidi ya kushinda ukivuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Aah kumbe na wewe shoga mama. sorry nimekugusa
Wewe ndiyo shoga iweje Tabia zako za kupakatwa huko gheto kwa cyprian Musiba unazileta mitandaoni? Watetezi wa CCM mkiishiwa Hoja mnakuja na ujinga wa kuvuruga mada
 
Walikuwepo akina Iddy Amin Dada, Sadam Hussein, Bokasa, Gadafi, mabutu, chiluba, Abacha, Nkurunzinza, Albashiri na wenzao leo wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.

lakini hatuwezi kumshanga Tundu Lisu kwa sababu kubwa moja uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi sababu katika kipindi cha miaka mitano wameweza kutekeleza Ilani yao kwa asilimia 100 chini ya uongozi hodari na thabiti wa Mh. Rais John Pombe Magufuli kwa kuweza kusimamia kwa vitendo utekelezaji wake wa Ilani hiyo.

Nakuonya Tundu Lissu usije ukajaribu wala kurogwa kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa malengo yako binafsi na watu wanaokutuma yaani Mabeberu ndio maana nimeamua kukuonya kwanza ili watanzania watakapo kuja kukuonya katika sanduku la kura usije ukaona umeonewa na ukaanzisha vurugu na vikundi vyako vilivyopo ndani ya chadema.

Nakuonya Tundu Lissu uchaguzi wa mwaka huu nikuhakikishie Ajenda ya Watanzania wanachagua maendeleo na si kelele unazopiga katika majukwaa ni bora ushauri wapi kunatakiwa kuboreshwa na si kujenga hoja za kuligawa taifa letu.

Nakuonya Tundu Lissu nibora ujiengue katika hiki kinyanganyiro maana unakwenda kupata aibu na kukifanya CHADEMA kuwa chama cha tatu au cha nne katika upinzani hivyo basi ni bora ukae pembeni au uungane na jeshi la Magufuli katika kufanya siasa za maendeleo anazozifanya MAGUFULI

Nakuonya Tundu Lissu kuwa muangalifu na chukua tahadhali kubwa katika kipindi hiki kama mgombea wa CHADEMA maana utapokea maelekezo mbali mbali kutoka kwa viongozi wenzio ndani ya CHADEMA kwa mazumuni ya kuleta vurugu katika nchi usije ukakubali kuwa katika mpango mkakati huo.

Mwisho nakuonya Tundu Lissu tumia muda huu kupumzika maana naamini kinga za mwili wako bado hazipo sawa kufanya wewe uwezi kufanya kampeni tena za kuzunguka nchi nzima hivyo jali kwanza afya yako maana afya ni bora kuliko hiko unachokipigania
Hakuna Cha kuchagua maendeleo ya vitu tunataka maisha Bora, elimu Bora, barabara n.k
 
Nani amekudanganya kwamba tutachagua mmaendeleo ya vitu
Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na watanzania wengine wasio na vya vyama
 
Hakuna Cha kuchagua maendeleo ya vitu tunataka maisha Bora, elimu Bora, barabara n.k
Kwenye miradi yote mikubwa kuanzia ununuzi wa Ndege wanaccm wamefanya ufisadi wa kutisha mno kila kona kuna 10% zao wanaccm ni wanufaika wa kila miradi mikubwa Tanzania
 
Back
Top Bottom