Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Zisidum kwa nn mkuu? Matumizi yako tu...zinadumu?
jaribisha hapo tuone kikiwa mguuniZisidum kwa nn mkuu? Matumizi yako tu...
Inategemea mkuu, wengi watu kitu kikiwa na bei chini tunatia waswas kwenye ubora. Hiz ukiwa mfanyabiasara kama unauzia sinza unazipiga splash unaziweka kwenye boksi unauza laki na 70Midosho
Ile palejaribisha hapo tuone kikiwa mguuni
Siuzi mm mkuu usinielewe vibayaHakuna za kijani au njano nataka rangi za ccm au yang
Mara nyingi/zote viatu vyeusi havichanganwyi na rangi nyingine.. hata converse huwaga hivyo. Ila hizi rangi nyingine ndo zinachanganywa. So nyeusi huwaga peke yake! Hivi huchanganywa na nyeupe na rangi nyingineMkuu ahsante sana kwa ku supply maujanja. Katika hizo pair 24 ni rangi tofauti au rangi moja?
Huna baya kaka, kuna mtu anafanikiwa kupitia weweWazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa
Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k
Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina mwenyewe anaitwa "MA HUWA" yuko floor ya kwanza.. ukifika mazingira hayo muulize machinga yoyt3 kuwq unaenda kwa mchina anaitwa "Maua"
Kuna jamaa posta anauza 180 nilichoka! Kariakoo nilinunua kwa elfu 30 tuKuna watu huwa wanasupply au kuuza vifaa vya ulinzi! Nani anaijua hii tochi?. Tochi hii wanatumia walinz kupiga shoti watuhumiwa.. je bei yake kias gan?
DuhKuna jamaa posta anauza 180 nilichoka! Kariakoo nilinunua kwa elfu 30 tu
Mtu ukimwambia cheap anaona feki. Hapo anacheza na maneno ya kibiashara tu.. "quality!" "We care your money 💰"!. "Service 24 hours" wakat tunajua kabisa huwez kuagiza kitu kama hiki saa 8 usiku, so ukilala na sisi supplier tunalala.