Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa

Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k

Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina mwenyewe anaitwa "MA HUWA" yuko floor ya kwanza.. ukifika mazingira hayo muulize machinga yoyt3 kuwq unaenda kwa mchina anaitwa "Maua"
Sasa raba ndo zitanipa ugali mezani?
 
Mara nyingi/zote viatu vyeusi havichanganwyi na rangi nyingine.. hata converse huwaga hivyo. Ila hizi rangi nyingine ndo zinachanganywa. So nyeusi huwaga peke yake! Hivi huchanganywa na nyeupe na rangi nyingine

Hii hii ukiikuta kariakoo reja ni 25. Na kwq mchina huwez kupelekwa kirahis. So nimeandika hapa vijana wajiongeze! Ajira zipo ila zina wenyewe
Converse wanauzaje?
 

Attachments

  • Screenshot_20240812_152456_Chrome.jpg
    Screenshot_20240812_152456_Chrome.jpg
    360.2 KB · Views: 18
Kuna watu huwa wanasupply au kuuza vifaa vya ulinzi! Nani anaijua hii tochi?. Tochi hii wanatumia walinz kupiga shoti watuhumiwa.. je bei yake kias gan?
Niliwahi nunua kama hiyo 130k sijui kama ndo bei yake ama nilipigwa.

Yote Kwa yte hazidumu mkuu.sitarudia kuwaka zinawaka balaaa but betri kimeo sana.
 
Back
Top Bottom