Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Nikuuzie yangu elfu 70 mkuu 🧐
Imani ushatoka kabisaa torch 🔦 inawaka Hadi inakuunguza lkn haidumu sijui Zina shida Gani nilichukua 3. Zingine nikapeleka kijijn Kwa mzee wangu nikabaki na Moja ya kwangu ndo kidogo Ili duma dumu kiaina.

Nahitaji Google pixel 6pro nilinunua 4a screen ikaharibika nikaambiwa bila270k nikanye nikalale Hadi Sasa ipo Kwa beg tu nasikilizia
 
Hizo sim ukizitaja mkuu nachefukwa sana. Sina ham
Imani ushatoka kabisaa torch 🔦 inawaka Hadi inakuunguza lkn haidumu sijui Zina shida Gani nilichukua 3. Zingine nikapeleka kijijn Kwa mzee wangu nikabaki na Moja ya kwangu ndo kidogo Ili duma dumu kiaina.

Nahitaji Google pixel 6pro nilinunua 4a screen ikaharibika nikaambiwa bila270k nikanye nikalale Hadi Sasa ipo Kwa beg tu nasikilizia
 
Mara nyingi/zote viatu vyeusi havichanganwyi na rangi nyingine.. hata converse huwaga hivyo. Ila hizi rangi nyingine ndo zinachanganywa. So nyeusi huwaga peke yake! Hivi huchanganywa na nyeupe na rangi nyingine

Hii hii ukiikuta kariakoo reja ni 25. Na kwq mchina huwez kupelekwa kirahis. So nimeandika hapa vijana wajiongeze! Ajira zipo ila zina wenyewe
Huu uzi baada ya kupata bei wadau wajikite hapa kujua namna ya kufungua pattern sasa
 
Back
Top Bottom