Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Mhmm.! Shem hapa umeupiga mwingi 🤣🤣🤣
Siriaz bos.. mm sikuamin mpaka nilipopelekwa na hizi mambo utajua kwa watu wanaofanya biashara ya watu wa tenda. Tenda zina hela sana... kuna bos wangu alipata tenda kwa kampun ya ulinz. Hizi amanita elf 20 nimtaftie kariakoo. Palichimbika mpaka kuipata hoi.. nikapewa elf 50 kama asante! I can't fake or lie
 
Basi huko ndio kwa kutafuta goli tupige pesa, kiatu cha 10,000 unauza 120,000.. profit 110,000
Hapo utajiri nje nje 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom