Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Hivyo viatu vinatembea sana mikoani na wateja wakubwa watu wa Songwe, vingine vinauziwa Zambia ila kwa dar sidhani.!
Kuhusu ubora koh koh koh
Ushaanza tena? 🤣

Lamomy kiatu hiki unakipondea una mgogoro wa kimaslahi. Hiyo kaz nzuri sio hiyo ya buku 8 zile zishapotega sahiz
 
Kuna jamaa yangu wa mkoani aliagiza kiatu duka fulani sinza akaniomba nikifuatilie nilipie nimtumie, bei ilikuwa 170K. Akantumia picha nikapita k/koo nikakitafuta nikakipata kwa 75K.

Ikapita wiki baada ya kukipata jamaa yake nae akakipenda na kuagiza alikuwa na shughuli na ilikuwa jpili, k/koo jpili kumepoa sana nikakitafuta nikakikosa ikabidi niende sinza kuchukua kile cha pichani ili mwamba afanikishe jambo lake, hicho cha sinza kilikuwa kimekaa sana dukani hadi kimepoteza mvuto ila bei juu. Faida ni kubwa na hapo ni kwa bei y Rejareja.
110,000 faida kwa kiatu kimoja unafikiri mchezo jirani?? Hapo utajiri huu hapa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom