Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Mchikichi complex. Hizi bidhaa mbona common sana kariakoo. Au nenda muhonda na Manyema pale kuna duk linaitwa Anojozee.. mitaa hiyo unapata
Hapo anojozee anauza midosho sana, nishawahu kununua cargo pants 35k nilivaa mara 2 tu ikaanza kupauka, Nikaona nimpe muuza kahawa tu atambe nayo.
 
Kalaga Baho Nongwa vipi kuhusu spare parts za pikipiki upepo wake upoje
Kuna jamaa yangu anauza hizi zina faida nzur sana sana. Japo sijawah kufabya hii au mteja wa hizi kuna jamaa yangu mmoja niliwh kumpeleka pale mtaa wa mafia na swahili mpaka mafia na nymwez.. unaijua mitaa yenye gari za makumbusho tinazopota shekilango?
 
Hapo anojozee anauza midosho sana, nishawahu kununua cargo pants 35k nilivaa mara 2 tu ikaanza kupauka, Nikaona nimpe muuza kahawa tu atambe nayo.
Kibiashara kariakoo nguo zenye kuwa na quality nzur ni zile zinazoanza kuingia tu. Zikionekan zimeuza sana na kutoka awamu ya pili quality lazima ipungue. Unatumia brand gan hasa ya hiz cargo pants niione
 
Attachments

  • 20240816_155040.jpg
    20240816_155040.jpg
    1.2 MB · Views: 21
Back
Top Bottom