Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Aisee mchina noma, kumbe mpaka New Balance amewafikia
Basi sivai tena hivi viatu

1723917305959.png


1723917389211.png
 
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa

Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k

Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina mwenyewe anaitwa "MA HUWA" yuko floor ya kwanza.. ukifika mazingira hayo muulize machinga yoyt3 kuwq unaenda kwa mchina anaitwa "Maua"
Ngoja nifanye utalii wa ndani
 
Back
Top Bottom