Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Tufanye hivi WA mikoani ukiitaji kitu nitafute nitakutumia kwa uaminifu mno.nitakutafutia chimbo la quality na bei nafuu.
Kama uko serious njoo pm.
Nina mambo yangu mengi ila nimeona wengi wanalalamika wanaoogopa kuutapeliwa.
Sasa kiongozi kwann usiweke code wazi ya chimbo lilipo kama wengine wanavyofanya mambo ya pm ndo utapeli wenyewe kama ww ndo mwenye duka sawa weka pia sehemu lilipo mtu aje
 
Kuna chimbo moja lipo masasi na likoma simu bei nzuri kabisa. Imagine infinix kama hiyo ni laki na 10 tu
 
Attachments

  • 20240902_111208.jpg
    20240902_111208.jpg
    1 MB · Views: 16
Tufanye hivi WA mikoani ukiitaji kitu nitafute nitakutumia kwa uaminifu mno.nitakutafutia chimbo la quality na bei nafuu.
Kama uko serious njoo pm.
Nina mambo yangu mengi ila nimeona wengi wanalalamika wanaoogopa kuutapeliwa.
mm nitakua transporter wako, ntakua napeleka mizigo pale jangwani/kidongo chekundu kwa ajili ya kutuma kwa mteja.
 
Back
Top Bottom