Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max

Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max

Kuna wadau wa hizi pia.. bei chee sana hizi. Ni elf 20 tu ila kwa watu wa jf madoni sana wanunue elfu 30 kwangu mm
IMG-20240930-WA0026(1).jpg
IMG-20240930-WA0024(1).jpg
IMG-20240930-WA0020(1).jpg
IMG-20240930-WA0018(1).jpg
 
Safi sana mzee wa chimbo
Kwa hiyo bei na muonekano ni ndogo sana
Hao wapori wanaosema wanajua zinapouzwa kwa 30 labda kwenye lile duka mbele ya ofisi ya ccm kijiji cha ikungu

Hizi ndio bei za og Air Max 90

1729452714905.png

1729452773439.png
 
Back
Top Bottom