Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max

Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max

Za kike bei 35000
IMG-20241023-WA0014.jpg
IMG-20241023-WA0021.jpg
IMG-20241023-WA0006.jpg
IMG-20241023-WA0015.jpg
IMG-20241023-WA0012.jpg
IMG-20241023-WA0010.jpg
 
Updates

Aimarx zimeisha...

Zilizopo hapo juu na hii chini. Hii ya chini ni raba ya michezo bei yake ni 15. Katoni ni elf 13
IMG-20241024-WA0122(1).jpg
 
wazee sina hiyana
Nashukuru kwa mirejesho n kukuwa kwa network. Siwez kuwaacha nyuma hata kidogo... Tuko pamoja

Raba hii hapo chini bei ya jumla ni elf 40 zinakaa pea 24, ukitaka kuanzia tano ni elf 48 na moja ni 55 tu.

Bei ya chimboView attachment 3130917View attachment 3130917View attachment 3130918View attachment 3130920View attachment 3130920.... ningelitaja hapa ila naona nitaharibu biashara za watu

Karibu tujadili
Mbona zina namba ndogondogo tu?Wanaozivaa hawana vidole vya miguuni?Kuna namba 46 kwenda mbele?
 
Back
Top Bottom