Nakupa siri ila usimwambie mtu, Warabu kutua Dar kucheza na Mnyama

Simba day is Loading, wanasimba mujiandae kwani chini ya kapet kuna shoo shoo! lakufa mtu.... Kwan Esperance... Mwaisa Watunisia wanatua kukipiga kwa mkapa!

Halafu!
Hawa Uto mbona hawana furaha....? [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Furaha yetu ipo August 13, alf mkifanya mambo yenu sio lazima mtuhusishe
 
Simba day is Loading, wanasimba mujiandae kwani chini ya kapet kuna shoo shoo! lakufa mtu.... Kwan Esperance... Mwaisa Watunisia wanatua kukipiga kwa mkapa!

Halafu!
Hawa Uto mbona hawana furaha....? [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Naona unafurahia sana kuwakaribisha mabwana wenu.
 
Back
Top Bottom