Its not..nawapa tu mnachotaka kusikia!We are all about MAENDELEO na pesa ni njia moja wapo kufika huko!
tatzo wanamiguu kama saa tisa kasoro yan hawaja 2lia alafu kama hawajui chezo alafu shape less so hawavutii
mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.
hapo umenena mukumbwa ni wasumbufu balaa, hata muda mwingine pesa wanapewa lakini bado playing hard to get.
Ukiona kitu kinajadiriwa kuna mawili (1)Kibaya(2)Kizuri vyote hapa vina apply!!Sasa wewe jitazame upo kwenye no ipi kati ya 1,2!Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?
Umedhihirisha uchaga wako haika mai!!Kwani kila kitu lazima uombe! kwani ni kazi ya mwanamke tu kupembeleza penzi? kwa taarifa yako sasa mambo yanajeuka, wanaume ndiyo mtafanya kazi zote za kupembeleza, kulea, kunyenyekea na kuboresha penzi! mmezoea wa kuwaburuza eeh!
Ukiona kitu kinajadiriwa kuna mawili (1)Kibaya(2)Kizuri vyote hapa vina apply!!Sasa wewe jitazame upo kwenye no ipi kati ya 1,2!
Umedhihirisha uchaga wako haika mai!!
Hivi hizi topic za kuwasema akina mama wa kichaga zitaisha lini? hongereni sana wakina mama wa kichaga maana inavyo onekana mko juuu ndo maana watu huwa wanaangaika kuwajuaNaomba kuuliza kwa jamii ya JF Hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??Kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea Penzi,Kuboresha Penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??
Hivi hizi topic za kuwasema akina mama wa kichaga zitaisha lini? hongereni sana wakina mama wa kichaga maana inavyo onekana mko juuu ndo maana watu huwa wanaangaika kuwajua
Yan umesema kweli papa yangu! cjui huyu kaka isa tumemnyima nini yesuu ruwaa! hataki kuachaana na sisi kabsaa ati! kwenye nji hii kwani wachaka tu ndio tupo jamani, si wapo na wengine?
Hivi hizi topic za kuwasema akina mama wa kichaga zitaisha lini? hongereni sana wakina mama wa kichaga maana inavyo onekana mko juuu ndo maana watu huwa wanaangaika kuwajua