Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.

hapo umenena mukumbwa ni wasumbufu balaa, hata muda mwingine pesa wanapewa lakini bado playing hard to get.
 
Nawaaminia wana jf
Baada ya mijadala mikali
sasa mnachakachua akili kwa ajili ya awamu nyingine mlumbane msigombane!
thanks all!
 
Naomba kuuliza kwa jamii ya JF Hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??Kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea Penzi,Kuboresha Penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??
 
Mshiko..............................!! lakini at least wa siku hizi they can even care na si wavivu wawapo 6X6!!!
 
Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?
 
Kwani kila kitu lazima uombe! kwani ni kazi ya mwanamke tu kupembeleza penzi? kwa taarifa yako sasa mambo yanajeuka, wanaume ndiyo mtafanya kazi zote za kupembeleza, kulea, kunyenyekea na kuboresha penzi! mmezoea wa kuwaburuza eeh!
 
Wanataka kukunwa vizuri, make ..yege zao ziko kwenye peak
 
Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?
Ukiona kitu kinajadiriwa kuna mawili (1)Kibaya(2)Kizuri vyote hapa vina apply!!Sasa wewe jitazame upo kwenye no ipi kati ya 1,2!

Kwani kila kitu lazima uombe! kwani ni kazi ya mwanamke tu kupembeleza penzi? kwa taarifa yako sasa mambo yanajeuka, wanaume ndiyo mtafanya kazi zote za kupembeleza, kulea, kunyenyekea na kuboresha penzi! mmezoea wa kuwaburuza eeh!
Umedhihirisha uchaga wako haika mai!!
 
Ukiona kitu kinajadiriwa kuna mawili (1)Kibaya(2)Kizuri vyote hapa vina apply!!Sasa wewe jitazame upo kwenye no ipi kati ya 1,2!

Umedhihirisha uchaga wako haika mai!!

Swali ni HAMCHOKI?na sio KWANINI!Mi niko kwenye upande wa kibaya!
 
Naomba kuuliza kwa jamii ya JF Hivi wanawake wakichaga hutaka nini kwenye mapenzi??Kwani mimi sioni kwawao kubembeleza penzi,kunyenyekea Penzi,Kuboresha Penzi sa hasa nini wao upenda kwenye mapenzi??
Hivi hizi topic za kuwasema akina mama wa kichaga zitaisha lini? hongereni sana wakina mama wa kichaga maana inavyo onekana mko juuu ndo maana watu huwa wanaangaika kuwajua
 
Yan umesema kweli papa yangu! cjui huyu kaka isa tumemnyima nini yesuu ruwaa! hataki kuachaana na sisi kabsaa ati! kwenye nji hii kwani wachaka tu ndio tupo jamani, si wapo na wengine?
 
Labda wakati wa shangwe mnashangweka!!Bonge la show na ring tone zakufa mtu you never know!!
 
Wachaga hoyeeeeeee!! Kakakiiza mambo vipi, Unataka kuoa au umeoa mchagga?? Tunashukuru kwa sababu unatupenda, nijibu hayo maswali kwanza, Halafu nitakuambia huwa tunataka nini hasa kwako!!
 
MMMhh, haya bana,
kazi yangu ya leo J3,
ni kutalii tu humu, na kuona kama wadau wote mpo salama!
mbarikiwe nyote!!!!
 
Hivi hizi topic za kuwasema akina mama wa kichaga zitaisha lini? hongereni sana wakina mama wa kichaga maana inavyo onekana mko juuu ndo maana watu huwa wanaangaika kuwajua

aika meku....
 
Back
Top Bottom