Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu.
Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko sasahv smart gin ipo kwenye mzunguko mkubwa sana.
Twende kwenye wazo, Kumbuka kama unataka tushirikiane basi mimi ni asset, nina mkemia na CV yake ipo safi sana na pia sasahv ameajiriwa Dodoma kuna jamaa mmoja anatengeneza kiwanda cha pombe.
Idea ya wazo; brand name yake ni GONGO LA MBOTO GIN au GONGO LA MBOTO PREMIUM VODCA..
Tunafanya research ya gongo ile yenyewe ya Mapapai, tunafanya evaluation ya taste yake na tunaweka/tunatengeneza inayofanana nayo then tunaweka kwenye package ya kuanzia elfu mbili na elfu tano.
Tunashughulikia compliance zote za serikali, then tunaweka mzigo dukani.
So far, mimi nitakupa location ya zaidi ya vibanda umiza 100 kwa Dar kwa kuanzia.
Sasa karibu tuendelee kujadiliana opinion zako zitalindwa na wadukuzi sababu nimeweka open hapa jamiiforums na nishasajili Brela.
Ukitaka privacy njoo PM
NB: Nawasilisha kwa wote ambao nia yao ni nzuri, Sitaki ujuaji kabisa kwenye hii post nitakudhalilisha ni bora uwe positive tu.