Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

Ukishapata mwekezaji na mkatengeneza hiyo pombe, mimi nitakuwa supplier wenu wa kwanza kabisaaa.
Nina miliki kampuni ambayo moja wapo ya kazi yake ni usambazaji wa pombe.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu.

Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko sasahv smart gin ipo kwenye mzunguko mkubwa sana.

Twende kwenye wazo, Kumbuka kama unataka tushirikiane basi mimi ni asset, nina mkemia na CV yake ipo safi sana na pia sasahv ameajiriwa Dodoma kuna jamaa mmoja anatengeneza kiwanda cha pombe.

Idea ya wazo; brand name yake ni GONGO LA MBOTO GIN au GONGO LA MBOTO PREMIUM VODCA..

Tunafanya research ya gongo ile yenyewe ya Mapapai, tunafanya evaluation ya taste yake na tunaweka/tunatengeneza inayofanana nayo then tunaweka kwenye package ya kuanzia elfu mbili na elfu tano.

Tunashughulikia compliance zote za serikali, then tunaweka mzigo dukani.

So far, mimi nitakupa location ya zaidi ya vibanda umiza 100 kwa Dar kwa kuanzia.

Sasa karibu tuendelee kujadiliana opinion zako zitalindwa na wadukuzi sababu nimeweka open hapa jamiiforums na nishasajili Brela.

Ukitaka privacy njoo PM

NB: Nawasilisha kwa wote ambao nia yao ni nzuri, Sitaki ujuaji kabisa kwenye hii post nitakudhalilisha ni bora uwe positive tu.

Wekeza wewe uwe kama jamaa
 
Maisha yamekuchapa unataka kuuza gongo.

Inachekesha pia inahuzunisha sana kwa kweli.
 
Najua vitu sio rahisi haswa kwenye vibali na kupata raw materials ndio maana nimeweka kwa watu wote. Pia hii kitu nimeandikia andiko kama unalitaka njoo PM
Tena Niko karibu na kiwanda cha miwa kilombera sugar estate kwa umbali kilometa 32
 
Ila hizi pombe kali za 2000 na zile za kupima unapata kipimo ha 1000 zitakuja kuwaua vijana. Mtu ana miaka 30 anaonekana kama 50+.
Kuna jamaa yangu alikuwa dar akahamia Arusha, kaenda kutengeneza hizi pombe. Jamaa kwa sasa yupo vizuri. Wadudu sasa, ndio wanamaliziwa.
Ukila pombe gonga menu ya steak ya nyama choma,pombe unaigeuzia direction ipambane na nyama choma
 
Back
Top Bottom