Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anayekula hizi pombe za uchochoroni za 2000 au za kupima kwa 1000 anaweza kula nyama choma? Bia na nyama ni marafiki wa kudumu. Bia Zinauzwa sehemu kunakopatikana nyama. Sio hizi pombe za uchochoroni. Na hizi zimetengenezwa kwa ajili ya wale watu wasiokuwa na kipato. Yaani ni gongo inayouzwa gadharani.Ukila pombe gonga menu ya steak ya nyama choma,pombe unaigeuzia direction ipambane na nyama choma
pepo tokaa na kwako pia! Mbona umeweka profile unagema ulanzi hapo mkoani Iringa..Pepo tokaaa....
HongeraUkishapata mwekezaji na mkatengeneza hiyo pombe, mimi nitakuwa supplier wenu wa kwanza kabisaaa.
Nina miliki kampuni ambayo moja wapo ya kazi yake ni usambazaji wa pombe.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nishirikishe kamanda nna watu wa nje wanaweza kutusaidia kwa hiliMimi nina idea fulani ya kutengeneza application ambayo naamini nikipata mtaalam kwa ku develop tukafanya presentation kwenye wizara fulani legwa tutapiga pesa....developer anaweza nichek
Njoo PMNishirikishe kamanda nna watu wa nje wanaweza kutusaidia kwa hili