Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

Ukila pombe gonga menu ya steak ya nyama choma,pombe unaigeuzia direction ipambane na nyama choma
Mtu anayekula hizi pombe za uchochoroni za 2000 au za kupima kwa 1000 anaweza kula nyama choma? Bia na nyama ni marafiki wa kudumu. Bia Zinauzwa sehemu kunakopatikana nyama. Sio hizi pombe za uchochoroni. Na hizi zimetengenezwa kwa ajili ya wale watu wasiokuwa na kipato. Yaani ni gongo inayouzwa gadharani.
 
Mimi nina idea fulani ya kutengeneza application ambayo naamini nikipata mtaalam kwa ku develop tukafanya presentation kwenye wizara fulani legwa tutapiga pesa....developer anaweza nichek
Nishirikishe kamanda nna watu wa nje wanaweza kutusaidia kwa hili
 
Back
Top Bottom