Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

Ukishapata mwekezaji na mkatengeneza hiyo pombe, mimi nitakuwa supplier wenu wa kwanza kabisaaa.
Nina miliki kampuni ambayo moja wapo ya kazi yake ni usambazaji wa pombe.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 

Wekeza wewe uwe kama jamaa
 
Kwa muda mrefu nimeona wazo la kiubunifu. Wengi humu huwa copy paste. Nenda mbele usirudi nyuma.
 
Maisha yamekuchapa unataka kuuza gongo.

Inachekesha pia inahuzunisha sana kwa kweli.
 
Najua vitu sio rahisi haswa kwenye vibali na kupata raw materials ndio maana nimeweka kwa watu wote. Pia hii kitu nimeandikia andiko kama unalitaka njoo PM
Tena Niko karibu na kiwanda cha miwa kilombera sugar estate kwa umbali kilometa 32
 
Ukila pombe gonga menu ya steak ya nyama choma,pombe unaigeuzia direction ipambane na nyama choma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…