Nakupenda hadi najikojolea

Nakupenda hadi najikojolea

πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½Ni majanga makubwa Mkuu.

Endapo kama huyo mdogo wake ni mwanafunzi basi ni wazi hata wao wamechangia kumharibu na kwa umri wa miaka 18 ni wazi kisheria huyo anatakiwa awe na hadhi ya uanafunzi.

Sijui kwanini jamii huiga uzungu na kufanya maadili yashuke kiasi hiki, miaka 18 unampa simu ili awasiliane na nani na kwa sababu zipi za msingi, akiwa bado ni mwanafunzi anapewa kwa sababu kuu ipi yaani.

Huwa mambo mengi tunajitakia wenyewe na nikipata namba zake hata mimi lazima nimkojoze maana walio juu yake ndiyo wameamua kumpa mtaala wa umalaya.
 
Huwa simshauri mtu hadi akutwe na janga, ukiona mtu anapotea acha kumwambia subiri apate janga huko alipokuwa anapaona ni pazuri ili awe na mfano wa kujifunza pale unapokuwa unampa ushauri.
Lakini pia anaweza akawa hajapotea,anaweza akafanikiwa na huyo jamaa mwenye 38 afu akaja kumsaidia huyu single mama anayebwata bwata hapa!
MAISHA HAYANA KANUNI,kafikisha miaka 18 sheria inamruhusu kufanya anachojisikia,kikubwa asivunje sheria tu.!
 
Kujikojolea unaruhusiwa hata ukiwa na miaka 5.
 
Huyu tayari.. cha msingi hapo dili nae kama mtu mzima kumsaidia. Mkwara hautasaidia.
 
Hujatuambianhuyo binti jinmwanafunzi, au? Na kama ni mwanafunzi atakiwa level ya A level au certificate/ diploma, kwa umri wake na kama yuko level hizo na keshamaliza form four ni suala la kuongea na kumshauri awe makini, haya mambo mtu akishayaanza, na keshajua kukojozwa, huwezi tena kumzuia bali unachotakiwa ni kumfanyia counselling tu.
Lakini pia huyo binti anakaa na nani, mabinti wengi wanaharibiwa sana na mama/ dada zao, my daughter is 14 eti mama yake alimpa simu, na kuna siku nikaona text anatogozwa, i s very angry to her mum
 
Hapo cha kufanya mkuu muombee kwa mungu mdogo wako asije naswa na umeme, coz kuacha hayo mambo n vigum mno mtu akishaingia huko kwa huo umri alionao
 
Hujatuambianhuyo binti jinmwanafunzi, au? Na kama ni mwanafunzi atakiwa level ya A level au certificate/ diploma, kwa umri wake na kama yuko level hizo na keshamaliza form four ni suala la kuongea na kumshauri awe makini, haya mambo mtu akishayaanza, na keshajua kukojozwa, huwezi tena kumzuia bali unachotakiwa ni kumfanyia counselling tu.
Lakini pia huyo binti anakaa na nani, mabinti wengi wanaharibiwa sana na mama/ dada zao, my daughter is 14 eti mama yake alimpa simu, na kuna siku nikaona text anatogozwa, i s very angry to her mum
Form 6
 
Ungekuta umri gani unafikiri usingehamaki kihivyo?
 
Huo umri unashangaa nini sasa? Mwili unachemka unahitaji huduma.
 
Mtoto akililia wembe mwache kwanza umkate alafu atautupa yeye mwenyewe mana ukisema umwambie hawezi kukuelewa
 
ulikuwa watafuta nini humo? unachotakiwa kufanya ni kila wakati kukaa na mdogo wako na kumuelewesha ya dunia ili mwenyewe abadilike ila ukianza kwenda kwa cmu utapata presha!! maana huo ni upele wakati chanzo cha upele hukijui
 
Kweli mkuu maana najiuliza sipati jibu

Back
Top Bottom