Nakupenda hadi najikojolea

Nakupenda hadi najikojolea

Anaweza katwa na huo wembe sehemu mbaya isiyo tibika
Mtoto akililia wembe mwache kwanza umkate alafu atautupa yeye mwenyewe mana ukisema umwambie hawezi kukuelewa
 
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.

Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.

Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?

Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
Kashanogewa na Dudu la yuyu
 
Hawa watoto kuwakabidhi simu huwa ni kosa kubwa sana la kimaadili. Yaani simu zina mambo mengi sana ni ngumu mtoto wa umri huo kuwa na simu na akakosa kurubuniwa.
Yaani hata Mimi simshauri mzazi kumpa Mtoto CM kwa umri huo. Wanamambo mengi sana watoto wa siku hizi
 
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.

Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.

Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?

Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
miaka 18 ni mtu mzima sasa washangaa nini hapo .........................muache kashapata mtu anampenda hadi anajikojolea
 
Kakutana na msuguano wa mtu mzima, 38 yrs akimkunja huyo binti wa miaka 18 lazima achanganyikiwe ajihisi kukojoa, tena jamaa atakuwa anafamilia yake
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.

Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.

Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?

Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
 
Mh pole sana Mkuu. Sitisha hayo mahusiano haraka sana na ikiwezekana chukua hiyo simu kwa muda ili wasiweze kuwasiliana.
Miaka 18 ni mtu ambaye anatakiwa kuwa na maamuzi yake binafsi, kuchukua simu hakutasaidia..anapaswa alimishwe na kupewa muelekeo sahihi, akikaidi atajua mwenyewe mbele ya safari.
Alternative nyingine ni kuongea na Hilo lijamaa la miaka 38 maana ni limume la mtu
 
Hilo nalijua Mkuu lakini kwa kuwa atakuwa hanayo mkononi inaweza kusaidia kupunguza mawasiliano yao. Nilikuja hapa kuuliza mkojo upi? Kumbe ni mwenzetu ana tatizo na mdogo wake.
Anaweza akaacha mawasiliano na huyo akaanzisha na mwingine. Haitasaidia hata bila kuwa na simu atafanya
 
Inategemea na akili ya mtoto. 18 wengi bado wana akili ya miaka 10.

Miaka 18 ni mtu ambaye anatakiwa kuwa na maamuzi yake binafsi, kuchukua simu hakutasaidia..anapaswa alimishwe na kupewa muelekeo sahihi, akikaidi atajua mwenyewe mbele ya safari.
Alternative nyingine ni kuongea na Hilo lijamaa la miaka 38 maana ni limume la mtu
 
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.

Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.

Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?

Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
meshavuka Tender age mwache afanye yake
 
Inategemea na akili ya mtoto. 18 wengi bado wana akili ya miaka 10.
Ni kweli, lkn kumbuka kuwa penzi linalopigwa vita kwa kutumia nguvu nyingi mara nyingi hushamiri zaidi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.

Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.

Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?

Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?
Haha haa daah --- kweli wana mapepo !!!!
 
Mh pole sana Mkuu. Sitisha hayo mahusiano haraka sana na ikiwezekana chukua hiyo simu kwa muda ili wasiweze kuwasiliana.
Hahaa ...si-ameshafika miaka 18 lakini ..serikali inatambua Kuwait ni mtu mzima huyo ...amuache tu na maisha yake ..asije kufanya ulicho mshauri halafu binti akampeleka police bure
 
Okay lakini akitiwa mimba polisi hawatamsaidia chochote kile na kama yuko shule kitabu ndiyo basi tena. Tayari single mother 99% ya wanaume hawamtaki kama mke wanagegeda na kusepa na si ajabu kumuongezea idadi ya watoto wasiokuwa na Baba.

Back
Top Bottom