Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Huwa una akili sana ujue.
Hapa hatuko sawa 100%
Bali tunagusa vitu kwa uwingi.
Ni mara chache umjali mtu asikupende.
Nasaema ni mara chache.
Kuna kumjali mtu ila kwa kumpa laki3 kila mwezi hio ni biashara kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mia tatu per month?

Muulize ana degree
Degree ya kukata viuno labda! Mwanamke mwenye akili hii mapenzi tu ndio yanakuwa kitu pekee anachoweza kukitoa kama mtaji wa kujiingizia kipato!

Nikisikia amegraduate huyo malaya basi nitaaga huu huzi!
 
Wenzio iyo laki3 iko kama efu20 ktk marupurupu yake na anaitoa bila hata kuhisi kama kuna mahali ametoa
Kama mbunge sawa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… maana hio ni posho ya siku anaweza akatoa kila mwezi katika zile million 12 zake ikawa kama kujamba usingizini tu πŸ˜…
 
Kama wewe inakosa sio wote....maisha ulonayo sio lazima yafanane na wengine! Sisemi nina ela nyingi Ila kwa laki3 ya kumpa mpenzi ni ela ya kawaida kabisa...ila sio kwa wote.....kwaivo sio lazima iyo ela iwe ya kawaida kwako makasiriko ya nini sasa?
Acha tambo wewe, ikipitishwa rambi rambi tu humu hamkawilii kukimbia uzi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!!! Af leo hii eti unavimbia kabisa laki 3 hela ndogo tu kmmmk walai πŸ˜…
 
Hahahahah kwahio mwamba una sura ya sokwe dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unazingua ujue! This qoute should be documented πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu ilibidi apambanishwe na yule mwamba anaepiga bao 16 kwa siku! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi kamimbiwa na mkewe ufilipino huko!
 
Unamwambia katafute hio hela uje unipe kama unavyoniomba kizembe hapaπŸ˜‚ maana lazma atajiropokesha tu ohh hela yenyewe laki tatu tunasumbuaana hivi!

Unampachikia jibu hapo hapo...πŸ˜…
 
Ningekuwa mimi ningemkubalia ningechataka mbususu kisawasawa kwa siku 30 mwisho wa mwezi ukifika nampiga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…