Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Nasoma comments tuu mimi
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja aje
Niyakufungulia kesho jamaniiiMbona wewe hunifungulii uzi mimi nakati unanipenda sana hadi unahisi kufa usiponiona[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
ahaaa! kumbee😔😔Mbona wewe hunifungulii uzi mimi nakati unanipenda sana hadi unahisi kufa usiponiona[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtende naamini wewe ndiwe uliyekufa umeoza kabisa kwa mwenye maliNenda kajibu kule kuna jamaa kakufungulia uzi kwamba kafa kaoza kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
ahaaa! kumbee[emoji17][emoji17]
Kisa cha kutaka nitolewe kucha wewe mwanaume....Mtende naamini wewe ndiwe uliyekufa umeoza kabisa kwa mwenye mali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa uliponiambia kuwa mi ni kapuku tu wala sina hadhi ya kula raha na wewe ulikuwa unanipimia[emoji848][emoji28]ahaaa! kumbee[emoji17][emoji17]
😂😂😂😂Kisa cha kutaka nitolewe kucha wewe mwanaume....
Hahaha hahaha hahahaSasa uliponiambia kuwa mi ni kapuku tu wala sina hadhi ya kula raha na wewe ulikuwa unanipimia[emoji848][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunilisha maneno,utakula uliko peleka mboga😔Sasa uliponiambia kuwa mi ni kapuku tu wala sina hadhi ya kula raha na wewe ulikuwa unanipimia[emoji848][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeeAsante kwa kunilisha maneno,utakula uliko peleka mboga[emoji17]
Sasa uliponiambia kuwa mi ni kapuku tu wala sina hadhi ya kula raha na wewe ulikuwa unanipimia[emoji848][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa cha kutaka nitolewe kucha wewe mwanaume....
😂😂Yani ananizunguka hapa hapa .Na asirudi nymbn leo😠Hahaha hahaha
Wanaume sio watu wazuri
Aiseee...tafadhali usitake nikose vyote kwa wakati m1 maana nilikupenda kuliko hata maelezo lkn ulichezea shilingi chooni, ss ngoja Sakayo anifanye niwe free stressed[emoji1787]Asante kwa kunilisha maneno,utakula uliko peleka mboga[emoji17]