Nakupongeza sana Maulid Kitenge kwa kumjibu Shaka Hamdu Shaka kuhusu Katiba

Nakupongeza sana Maulid Kitenge kwa kumjibu Shaka Hamdu Shaka kuhusu Katiba

Watanzania,

Binafsi nampongeza Sana Ndugu yangu Maulidi kitenge kwa nondo zilizoshiba za kumjibu Shaka Hamdu shaka kuhusu Katiba Mpya na ushirikishwaji wake KWA wananchi!


Asanteni kwa muda
Kitenge Yuko vizuri, ila Kuna wakati huwa anakengeuka, ila KWa sababu ni kipenyo haina shida ,ameitendea haki tz na watanzania kupitia iyo clip
 
Back
Top Bottom