Nadhani kwa tulipofikia, kama uraisi wa Magufuli ulikuwa ni wa kijangili, basi tumuombe Mungu tupate raisi jangilist mara angalau 10 zaidi, mapema iwezekanavyo kwaajili ya vizazi vijavyo.
Hatuwezi kupiga hatua yoyote positive kwa huu upuuzi wa unaoendelea! Kama anaweza kuwa 100% match kisha akazidisha kila kitu by 10, why not!
To hell with hiyo law na vifananavyo! Law ni nini kwanza? Moja ya vitu visivyo na hakika katika hii dunia ni law. Ni aghalabu kukuta wanahesabu na wafananao kuwa na mjadala usio na mwisho na kisha kukata rufaa etc.
Si law, utawala bora wala demokrasia, kwa tafsiri tunayolazimishwa kuielewa, itasaidia nchi yoyote Africa kukua na kuendelea! Hizo ni nadharia za kulinda kilichokwisha kupatikana.
- Slavery, wali-abolish baada ya kufaidika na wakaweka taratibu mtu mwingine asije faidika kwa kufanya hayo na kusababisha instability itakayowafanya wasile vinono vyao kwa amani.
- Japan waliweza kutokomeza malaria 19 kweusi huko, kwanini hatufanyi kama wao leo?
Kama Magu alikuwa dictator, tunahitaji atakayekuwa mara 100 yake!