Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
ππππππ©
Nimesema tu, usiogope, au pengine utumie muda huu kuhalalisha vyeti vyako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππ©
Toshekeni na mishahara yenu.Mfuate huko akakutawale wewe.
Wewe mwache aendelee kulilea hili jambazi litamharibia siku si nyingi,kwani ameshasema kuwa hajajifunza kitu na hamuogopi mtu yeyote.Ni kama umenisemea, mtazamo wangu ni huuhuu.
Ila nani atamwambia? Naona kaweka pamba masikioni!
Ni kama katupiwa kitanzi ajivike mwenyewe.Huyo kaingizwa kwenye 18. Usiwe na shaka. Watu siku hizi wanapigana kisayansi, siyo kwa kujimwambafai.
Sukuma gang hawamuwezi! Nakazia.Sukuma gang and the rest of gangs hawakuwezi, wewe ndiye mwenye dola,
Ni kama katupiwa kitanzi ajivike mwenyewe.
Kiswahili fasaha aghalab maana yake mara chache au nadra.
AsanteHapana. Umekosea ndugu. Aghalabu maana yake fasaha ni mara kwa mara.
Kinyume cha neno aghalabu ni nadra.
Kwa huyo kaka, mama hawezi fanya chochote.Huyo kaingizwa kwenye 18. Usiwe na shaka. Watu siku hizi wanapigana kisayansi, siyo kwa kujimwambafai.
Utu wa system autoe wapi mkuu! Mtu wa system awe mbaguz kama huyu jihadist? labda system ya Taliban. Makonda ataendelea kuwatesa sana watu, kikubwa tupunguze wivu na kutakiana mabayaNawewe ni mtu Wa system sio
Allegations kutoka kwa Lissu πππMoja kwa moja kwenye mada
Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person, ata kuharibia
Drop that non-sense, tafuta watu wenye kuendana na haiba yako, bado haujachelewa, dont hang with wrong people
nakushauri, unajiharibia sana
Sukuma gang and the rest of gangs hawakuwezi, wewe ndiye mwenye dola, neno lako ni sheria, nakwazika sana unaoposhindwa kufanya unalotakiwa kufanya
Chukua au acha, huo ndio ushauri wa MIXOLOGIST, nimemaliza
Watu "asante mama samia kwa kuleta hewa ya oxygen tanzania "Moja kwa moja kwenye mada
Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person, ata kuharibia
Drop that non-sense, tafuta watu wenye kuendana na haiba yako, bado haujachelewa, dont hang with wrong people
nakushauri, unajiharibia sana
Sukuma gang and the rest of gangs hawakuwezi, wewe ndiye mwenye dola, neno lako ni sheria, nakwazika sana unaoposhindwa kufanya unalotakiwa kufanya
Chukua au acha, huo ndio ushauri wa MIXOLOGIST, nimemaliza
InafikirishaHawa jamaa mara nyingi wana changamoto sana ya kutaka kumpangia Rais cha kufanya!
Wana chuki sana na wakisukumwa na hisia za ukabila!
Hana usmart wowote.Shida Yenu mnamchukulia Poa sana yule dogo.
He is smart in his moves and he is strong pia.
Ukimuona Tembo juu ya Mti ujue kuna mtu kampandisha.