Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hii mada mbona haihusiani?Hakuna mwanasiasa mjanja na mwenye akili kuwahi kutokea kama rais Samia. Kawadhibiti wapinzani na critics wote bila hata kutumia nguvu. Easy going woman hana presha anacheza tu na saikolojia.
Urais siyo kufokafoka na kuruka rukaruka hapa na pale na kukariri data mwishowe betri inazima moyoni kwa jazba.
Nchi ipo stable hamna vitisho uchwara tena. Ukitii nakufusta sheria za nchi sasa hivi hakuna shida.
Thanks jah na bee giftedhands
👍👍Ni kama umenisemea, mtazamo wangu ni huuhuu.
Ila nani atamwambia? Naona kaweka pamba masikioni!
SadNi kama umenisemea, mtazamo wangu ni huuhuu.
Ila nani atamwambia? Naona kaweka pamba masikioni!
Kwanini walimtoa jalalani only to come and throw him away.?
Kwanini wasingemuwacha kulekule where he belongs?
Kweli kabisa Faizafoxy[emoji23]lkn wale transferred without pay wanateseka sana huko vichakani madam[emoji539]
You have the answer young lady.Si umuulize huyo wa jalalani nwenzako.
Hivi unategemea nini kutokea jalalani zaidi ya uvundo tu?
Una haki na fikra zako, huna haki na fikra za wenzako.You have the answer young lady.
Hapo aghalabu umemaanisha nini?Nadhani kwa tulipofikia, kama uraisi wa Magufuli ulikuwa ni wa kijangili, basi tumuombe Mungu tupate raisi jangilist mara angalau 10 zaidi, mapema iwezekanavyo kwaajili ya vizazi vijavyo.
Hatuwezi kupiga hatua yoyote positive kwa huu upuuzi wa unaoendelea! Kama anaweza kuwa 100% match kisha akazidisha kila kitu by 10, why not!
To hell with hiyo law na vifananavyo! Law ni nini kwanza? Moja ya vitu visivyo na hakika katika hii dunia ni law. Ni aghalabu kukuta wanahesabu na wafananao kuwa na mjadala usio na mwisho na kisha kukata rufaa etc.
Si law, utawala bora wala demokrasia, kwa tafsiri tunayolazimishwa kuielewa, itasaidia nchi yoyote Africa kukua na kuendelea! Hizo ni nadharia za kulinda kilichokwisha kupatikana.
- Slavery, wali-abolish baada ya kufaidika na wakaweka taratibu mtu mwingine asije faidika kwa kufanya hayo na kusababisha instability itakayowafanya wasile vinono vyao kwa amani.
- Japan waliweza kutokomeza malaria 19 kweusi huko, kwanini hatufanyi kama wao leo?
Kama Magu alikuwa dictator, tunahitaji atakayekuwa mara 100 yake!
Usiingilie mambo usiyoyajua.Moja kwa moja kwenye mada
Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person, ata kuharibia
Drop that non-sense, tafuta watu wenye kuendana na haiba yako, bado haujachelewa, dont hang with wrong people
nakushauri, unajiharibia sana
Sukuma gang and the rest of gangs hawakuwezi, wewe ndiye mwenye dola, neno lako ni sheria, nakwazika sana unaoposhindwa kufanya unalotakiwa kufanya
Chukua au acha, huo ndio ushauri wa MIXOLOGIST, nimemaliza
[emoji124][emoji124]Mmh jibu moja tu sawa nimekuelewa my madam my only mommy thanks.Si umuulize huyo wa jalalani nwenzako.
Hivi unategemea nini kutokea jalalani zaidi ya uvundo tu?
Mara chache.Hapo aghalabu umemaanisha nini?
Kiswahili ni lugha mama kwangu.Aghalabu Ni mara chache.
Faizafoxy nawezaje kuonana nawe japo nijidai na Mimi?Kiswahili ni lugha mama kwangu.
Si hapa unaniona jamvini.Faizafoxy nawezaje kuonana nawe japo nijidai na Mimi?
Je shule ulisomaje? Maana ya aghalabuKiswahili ni lugha mama kwangu.
Kama tu yeye mwenyewe ana Mapungufu kibao unategemea kweli jipya kutoka Kwake na atakuelewa kama utakavyo?Moja kwa moja kwenye mada
Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person, ata kuharibia
Drop that non-sense, tafuta watu wenye kuendana na haiba yako, bado haujachelewa, dont hang with wrong people
nakushauri, unajiharibia sana
Sukuma gang and the rest of gangs hawakuwezi, wewe ndiye mwenye dola, neno lako ni sheria, nakwazika sana unaoposhindwa kufanya unalotakiwa kufanya
Chukua au acha, huo ndio ushauri wa MIXOLOGIST, nimemaliza
sawa kabisa, maana wengine wanatumia neno hili kinyume yake (kumaanisha mara chache).Aghalabu Ni mara nyingi
Hapa haitoshi napendelea ana kwa ana japo tubadilishane mawazo salamu na mtu muhimu kutoka Jf.Please mommy think twice about it.Si hapa unaniona jamvini.
Wewe na takataka wenzako ndio mnamhitaji,usinisemee Mimi.Nadhani kwa tulipofikia, kama uraisi wa Magufuli ulikuwa ni wa kijangili, basi tumuombe Mungu tupate raisi jangilist mara angalau 10 zaidi, mapema iwezekanavyo kwaajili ya vizazi vijavyo.
Hatuwezi kupiga hatua yoyote positive kwa huu upuuzi wa unaoendelea! Kama anaweza kuwa 100% match kisha akazidisha kila kitu by 10, why not!
To hell with hiyo law na vifananavyo! Law ni nini kwanza? Moja ya vitu visivyo na hakika katika hii dunia ni law. Ni aghalabu kukuta wanahesabu na wafananao kuwa na mjadala usio na mwisho na kisha kukata rufaa etc.
Si law, utawala bora wala demokrasia, kwa tafsiri tunayolazimishwa kuielewa, itasaidia nchi yoyote Africa kukua na kuendelea! Hizo ni nadharia za kulinda kilichokwisha kupatikana.
- Slavery, wali-abolish baada ya kufaidika na wakaweka taratibu mtu mwingine asije faidika kwa kufanya hayo na kusababisha instability itakayowafanya wasile vinono vyao kwa amani.
- Japan waliweza kutokomeza malaria 19 kweusi huko, kwanini hatufanyi kama wao leo?
Kama Magu alikuwa dictator, tunahitaji atakayekuwa mara 100 yake!
Mama yako hana hiyo nguvu unayohisi anayo ndio maana kuna madudu yanafanyika mbele yake ila hana uthubutu wa kuchukua hatua.Moja kwa moja kwenye mada
Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person, ata kuharibia
Drop that non-sense, tafuta watu wenye kuendana na haiba yako, bado haujachelewa, dont hang with wrong people
nakushauri, unajiharibia sana
Sukuma gang and the rest of gangs hawakuwezi, wewe ndiye mwenye dola, neno lako ni sheria, nakwazika sana unaoposhindwa kufanya unalotakiwa kufanya
Chukua au acha, huo ndio ushauri wa MIXOLOGIST, nimemaliza
ID niliyoi-quote, imejipambanua kama -ke. Mpaka sasa haijaonesha huu ukike kama wako, Nifah ni ID yako nyingine?Wewe na takataka wenzako ndio mnamhitaji,usinisemee Mimi.
Watu wasiotumia akili sio sehemu ya watu naoweza kujadiliana nao,hawana tofauti na Ng'ombe wanatumia Nguvu