Nakushauri Rais Samia, achana na huyo haendani na wewe

Wote hao akili zao moja sema mnajitia ujinga kuwatofautisha. Tena naweza kwenda mbali na kudiriki kusema CCM ZnZ wamezidi wenzao wa bara kwa jinsi walivyofanya CUF.
 
Mh. Raisi Samia Suluhu Hassan is not stupid as you portray her to be.

On the other hand, you need to stop the non-sense za kufifisha kabila la Wasukuma to a gang.

STUPID
Hawa jamaa mara nyingi wana changamoto sana ya kutaka kumpangia Rais cha kufanya!
Wana chuki sana na wakisukumwa na hisia za ukabila!
 
Nakazia hapa
 
Mpaka limkute,
 
Kumbe wenye akili bado mpo.
 
Mfuate huko akakutawale wewe.
 
Huyo ni Scofield wa hiko chama chao,haepukiki! Hata ikitokea Chama Kubwa la kaskazini likishika hatamu utashangaa mno nao wakimchukua na kumbatiza huyo mwanakharamu!

Nasema hivi...kijana haepukiki hapa Giningi. Iwe leo au kesho haepukiki! ...

Period!
 
💩
 
Umetumia muda wako kuandika ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…