Nakusihi NILHAM RASHED

Nikarudi jioni ile nataka kusoma dua tena, nashangaa haupo namuona hashy peke yake, mara tena naona kuna mtu anakutaka live live na anapigiwa debe la kufa mtu na mashosti zako AD na Michelle, sasa hapo nitasomaje dua my dia???
 
heheheh we isome tuu hamna tabu allah ataiweka kuwa maqbul kama ikiwa ya kher.........

mmmmmh mbona wanitisha nimekuja fanya hitimisho wardi nishalichambua na jibu limetoka niiii...............au nipm tuongee kwanza hapa pana kuku wengi lol..........
Afadhali hata weye Muhusika umerudi mwaya
 
heheeheh waniwekea mambo hatarini wewe kwa dalili hiyo mpaka yaani network ikakatika lol...allah isalimk ya rabb....
Ooh! I have already apologized for dat my dia, yaan wakat naandaa dua Dowans wakachakachua mtambo
 
hash nakuona chini hapo kwenye members wanisoma au ???:msela::msela:
 
heheheh we isome tuu hamna tabu allah ataiweka kuwa maqbul kama ikiwa ya kher.........

Kwa vile uko peke yako ngoja nikusomee

"Baarakallaah laka, wa baaraka alayka, wa jama'a bainakumaa fil-khairi"

Na kabla hamjaanza sarakasi ambazo ndizo zitakazowaleteen watoto wa kufanana na nyie, mwambie hashy atamke hivi :-

"BISMILLAAH, ALLAAHUMMA JANNIBNAS-SHAITWAANA WAJANNIBIS-SHAITWAANA MAA RAZAQTANAA "
 
Unaniumiza habibty nafarijika uniitapo
Huwezi ona imani ukanitoa shakani?
Nina mapenzi ya dhati yan'jaa moyoni
Nakupenda kitambo nilichelea kunena hadharani
Kipi nikufanyie unitulize mtima

eehe kumekucha, Ivuga na ww umeanza kuchana verse, haya bana, Nilham ana shida, kazi anayo
 
mmmmmh mbona wanitisha nimekuja fanya hitimisho wardi nishalichambua na jibu limetoka niiii...............au nipm tuongee kwanza hapa pana kuku wengi lol..........

Ooohhh dear hembu twende chumbani kwanza
 
Nilham njoo kwangu
achana na hao jamaa
wote hao ni mapleya
ona wanavyobishana
kama hutaki kuniamini
angalia kwenye jukwaa la mmu
unaona jinsi wanavyowinda
kila wawapo hapa JF
mimi sikupi maneno mengi
na kizawadi nimekuletea
japo kiua kidogo
ila kina maana yake
hawa jamaa wanaobishana hapa
hawajawahi fanya hivi
ukiendelea kuwaamini
utapotea mpenzi wangu
 
mmmmmh mbona wanitisha nimekuja fanya hitimisho wardi nishalichambua na jibu limetoka niiii...............au nipm tuongee kwanza hapa pana kuku wengi lol..........

Moyo unaenda mbio kama gari la F1, nakusihi fanya imani usinimwake na kupenda wewe tu mwingine simtamani............
 
SALUTE MR PRESIDENT: Nimekusoma mkuu na nakuabliana na wewe kabisa......vipi leo naona uko nasi sana?mimi nifuraha yangu kwa kuwa umeleta maoni na taswira ya tofauti ni ile tu kwamba leo kuna kuongea kwa adabu kwa kuwa upo hapa.......nakushukuru sana kwa kuja naomba by the time unaridi state house tuwe tumemuokoa huyu kijana mwenye mapenzi mazito........asante mkuu,itifaki imezingatiwa
 
Shukrani sana kwa kampeni nzito sina cha kukulipa zaidi ya dua na kukuombea afya na mafanikio katika maisha yako Allahuma Amin dua iwe maqbul. Naona bibie ameshamaliza kuchambua maua na jibu analo kaliweka kiporo. Nimemuomba Mungu kama ana kheri na mie anijaalie awe mama wa watoto wangu. Nina pirika za kumpokea mgeni kutoka Mwanza anaingia leo jamvini. Alinipigia simu na kusema amekuwa akisoma michango yangu jamvini mara ya mwisho nilikuwa nae Dodoma Sec Nov 1999
 
mkuukasome thread iliyoandikwa hii ndo hofu yangu iliyonisababishia kuaaga by Nilham
 
Yote yatakuwa sawa,ngoja apone kwanza Shossi.....huyo mgeni utuambie tumpokeee,si wajua tena watu wa Tanga mapokezi tunayajua..l.o.l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…